Nishafikia rekodi yake, nipo jikoni napika rekodi mupyaaa. Sijazoea kukaa nafasi ya pili mimi.Aminia mkuu, mpambano ni wa ukweli.
jipange tena, mambo yashaharibika ...ohoooNasubiri majibu yao vijana kama watawezaView attachment 1445329View attachment 1445334
Sent using Jamii Forums mobile app
radicals jana hakulala na deni, leo nadhan tutahitimisha kamisaaWatu hatari sana
Tukiwa tumebakiza masaa pungufu ya 20, mpambano unazidi kuwa mkali hapa, radicals karudi kwa kasi mpya huku akiwa na ari zaidi ya kurudi tena.
Msimamo mpya:
1. radicals: 47 seconds, wa ukae BIN KULIJUA: 47 seconds;
2. wa ukae BIN KULIJUA: 55 seconds; na
3. IFRS: 57 seconds.
Watazamaji na makamisaa wengine mliojaribu kupambana na Dalmax mtakubaliana na mimi kwamba huu mpambano siyo mwepesi.
Na mpaka hapa hawa viumbe wameonyesha ushindani wa hali ya juu sana.
Special mention kwa mtoto wa Profesa Jitu Kali Jitu la Mabao Mr Castr, huyu kajitahidi. Kama ni boxing anaingia kwenye mapambano ya ufunguzi.
Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko makini sana mkuu, na jopo la watazamaji linahakikisha pia hatuchakuliwi.
Mwisho wa mpambano ni leo.
Lazima niibuke kidedea sina wasiwasi Ubingwa ni wangu kweli mimi ndio BIN KULIJUA Bingwa wa ukweli asiebahatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimaliza kete zote zikabaki za kwako pekee automatically wewe ni mshindi, hapo nadhani umenilenga mimi.Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda si mrefu nitaingia mitamboni niweke rekodi mpya ambayo itawachukua muda sana kuifikia, sio kuivunjaLazima niibuke kidedea sina wasiwasi Ubingwa ni wangu kweli mimi ndio BIN KULIJUA Bingwa wa ukweli asiebahatisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Atashinda ila msisitize muda, draught ni mchezo unaojenga uwezo wa kufikiri na kutoa maamuzi harakaLeo nitamtafuta jamaa moja anaitwa Frank nione anavyomfunga Dalmax, nichukue mbinu kiasi.
Maana naona linanidhibiti sana.
Muda ni ule ule mkuu, kete zikiisha dakika zinastop kusoma.Aisee vijana bado wabishi ngoja baadae niingie mtamboni ili niweke records mpya kamisaa angalia inatakiwa mtu atume screenshot. inayoonyesha yeye ni win sio inayoonyesha amemaliza draft kabla hajatangazwa mshindi au atakuwa amejitangaza kabla
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah...hilo dro unalitoaje kiongozi?Hahahah mi nimetoa droo mbili sifungwi kizembe namtaka bingwa wa dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
hivi kwann ukiskuma kete mbili tu draft linasimama huwezi sukuma kete nyingineIngia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
Nimempiga super Jana nimemjaribu nimeweka hard100% mech11 nimemfunga 7 moja nimempiga super kati ya hizo 7 moja droo l, kanifunga2 tu ila nimegundua ili draft inajua kucheza kuliko mengi ya computer niliyo cheza miaka 10 iliyopitaWe apiov huewezi kunifunga
Mm nimeset mwenyewe ili kupata tz rules kunasehemu unaset tuTanzania Rules imewekwa hivi karibuni, jaribu kufanya update ya app inaweza kupata.
Maana mwenyewe baada ya kuona hii thread ndo nime update na kulipata la Bongo.