fofre
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 805
- 1,307
Latest version
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Latest version
Nimeshindwa kuset second player (opponent wangu) acheze automatic.Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
hizo droo mbili nna uhakika umebonyeza "undo" zaidi ya mara tisna tisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hahahah mi nimetoa droo mbili sifungwi kizembe namtaka bingwa wa dar es salaam
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakazia hapaNimeshindwa kuset second player (opponent wangu) acheze automatic.
Please help..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi nimeshindwa kama weweNimeshindwa kuset second player (opponent wangu) acheze automatic.
Please help..
Sent using Jamii Forums mobile app
Player 1 ndo autoNimeshindwa kuset second player (opponent wangu) acheze automatic.
Please help..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo time, naona undo zilikuwa za kutosha..Duh nimepata suluhu game ya kwanza tu[emoji28][emoji28]
ila nimeweka 100View attachment 1439359
Ok fresh nishaupdate Mana Kuna siku niliupdate mambo yaligoma. Ilikuwa update Mbaya sana. Ila hii kali sanaLatest version
Umempigaje huyu kwamba?
[emoji122]Game ya kwanza nimetoa nae droo, tena yeye ndio kaitafuta
Ukitega force haji !! Hakuna mtego anaingia king.Nimeambulia vitasa vya kutosha
Lete mbinuJamaa anacheza vizuri mimi nafungana nae kuna kipindi namzidi magoli wakati mwingine ananizidi ila dawa yake ipo Jikoni nitamkalisha tu
Sent using Jamii Forums mobile app