Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Screenshot_20200505-114325_Dalmax Checkers.jpg
 
Hilo la Tanzania sioni hata uzuri wake!
Cheza kitu ya Russian inakula nyuma na mbele ukizubaa kidogo tu kete zimepuswa kama giningi muandamizi.. nimelipakua jana tu ila nimetoa droo mbili Tena za Undo😂😅😅
Hii ngoma moto

Russian ni gumu sana aisee, hilo la TZ liko shallow, halafu naona hawakuweka hata rules.
 
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%

Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
Chamtoto hata sitaki kujaribu madrafti ya app ni mepesi tu hata ukiset hard

Send by APOLO 1
 
Back
Top Bottom