Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Hapa Draw kabisa Ila jamaa anabana! Wananichelewesha!
Screenshot_20200505-195601.png
 
Nimemfunga lakini huyu mwamba ni hatari
 

Attachments

  • Screenshot_20200504-105851.png
    Screenshot_20200504-105851.png
    79.1 KB · Views: 12
  • Screenshot_20200504-161604.png
    Screenshot_20200504-161604.png
    71.6 KB · Views: 13
  • Screenshot_20200505-113107.png
    Screenshot_20200505-113107.png
    67.3 KB · Views: 12
  • Screenshot_20200504-110403.png
    Screenshot_20200504-110403.png
    86.1 KB · Views: 11
Mnafaidi! La apple store hakuna tanzanian rules, natumia portuguese rules, ndio zinashabihiana na za bongo ila katika kula huchagui unakula ile yenye mzunguko mkubwa!

Ukiweka custom rules linakaa kulia kushoto, kushoto kulia.

Tanzania Rules imewekwa hivi karibuni, jaribu kufanya update ya app inaweza kupata.

Maana mwenyewe baada ya kuona hii thread ndo nime update na kulipata la Bongo.
 
Back
Top Bottom