Hili draft la Dalmax la Google Play limenishinda aisee, hii app ina mchezo mkubwa sana

Dalmax liko vzr kwa sheria za nchi unayotaka. Mm si mpenzi wa games lkn hili nimetulia.

Kuna kipindi limenibana nika play sare, likagoma.
 
Kumfunga dalmax ni ngumu, na hata hao wanaojitapa wamemfunga wameshaambulia vipigo vingi ila hawasemi. Dalmax ni computerized, isn't prone to errors, ili umfunge opponent wako lazma afanye makosa ndo mfunge tofauti na dalmax ambaye hafanyi makosa ya kibinadamu...just play for fun forget about winning.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli kanifunga mechi nyingi kuliko nilizomfunga.ila mimi sare ni kama 50%, kunifunga 30% na kumfunga 20%

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unatakiwa kujua kwamba ni man made program, na configuration zinategemea walioitengeneza walikuwa na uwezo kiasi gani kuweza kufanya capturing ya moves.

Kwa hiyo kwa anayejua draft, huyu Dalmax ni mwepesi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…