Unaniangusha mkuu, mi natoa droo za kutosha na nimeshinda pia..Ukitega force haji !! Hakuna mtego anaingia king.
Nimetumia formula zote zilizonipa mke huku Namtumbo hola!! Nilishusha level ikawa 75 nikampasua
Hilo la Tanzania sioni hata uzuri wake!
Cheza kitu ya Russian inakula nyuma na mbele ukizubaa kidogo tu kete zimepuswa kama giningi muandamizi.. nimelipakua jana tu ila nimetoa droo mbili Tena za Undo😂😅😅
Hii ngoma moto
Hivi hakuna namna nikacheza na wewe online?
Nitakupasua angalia kilichompata mwenzioHivi hakuna namna nikacheza na wewe online?
Chamtoto hata sitaki kujaribu madrafti ya app ni mepesi tu hata ukiset hardIngia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
Mm ningekulia hela bure licha sijawai kulicheza ilo draftMi Kuna ndezi nimewapigia hela kwa lile draft..naweka hela afu Nampa apambane nalo..ye nime mla elfu kumi..hio version ya draft Ni hatari na nusu
Unafanyaje nikitaka kucheza na wewe?
Hapa Kuna "Undo" za Kushato! Time difference!