Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Nikajua na wewe ume update via apple store ?
Ingia google play tafta dalmax checkers, i-download hlf chagua Tanzanian rules, hlf kwenye difficulty uweke 100%
Kati ya michezo kumi ukiweza shinda atleast michezo sita tu, kila unapocheza nae, bhas ww utakuwa ni bingwa wa draft..
Watu tumepata mke kwa kucheza drafti bana mimi huyo cha mtoto tu nilishampiga mara nyingi tu
Russian ni gumu sana aisee, hilo la TZ liko shallow, halafu naona hawakuweka hata rules.
😆😆😆😆Wenzio wameweka screenshot, wewe unapiga mboyoyo hewa.
poa mzee babaNgoja nilitafute,napenda michezo migumu ya kubangua bongo.
Wanangu wa A town inakuaje??
HaahaaaaaaaaaNafuta hii kauli.
Draft ni gumu hili.
jamaa ananisumbua kichizi ,nashindwa kulala ,unajua mi sipendi kupigwa kiboya,
nimeshinda mitatu kati ya michezo kama mia tatu ivi
natamani hata kulia
kwanza mitego yote anaijua
ukishindana naye stepu ndio umeumia kabisa
vile vimichezo sijui sumu ya pandu sijui nini ,yaani utaumia tu,
mchezo wa kuanza kete ya meja mara nyingi inakuwa suluhu jamaa anakupiga vizuri tu
ILI DUDE LIMENIONYESHA kuwa mimi SIJUI DRAFT
Mshenzi sana Dalmax yaani anaweza kukupa kete zake lundo akupige force na hapo htoboi yaani dah
Sema mi sijui nakosea kwenye setting za custom maana kuna mda anatakiwa ale mbili ili nimuue king yake unakuta ananyoosha hakatizi kwenye kula pa kuliwaMi Kuna ndezi nimewapigia hela kwa lile draft..naweka hela afu Nampa apambane nalo..ye nime mla elfu kumi..hio version ya draft Ni hatari na nusu
Si unacheza single player halafu automatically utakuwa unacheza na bw Dalmax mbabeNimeshindwa kuset second player (opponent wangu) acheze automatic.
Please help..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sema mi sijui nakosea kwenye setting za custom maana kuna mda anatakiwa ale mbili ili nimuue king yake unakuta ananyoosha hakatizi kwenye kula pa kuliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeicheza aisee ila naona kama hili kapunguza makali maana nimepiga naye game moja tu kakimbilia suluhuLipo draft la Tanzania Rules, hilo sheria zake zote ni zile zile za Bongo.
Huhitaji kufanya settings.
nakukuruka naye mida hii, lakini wapi naambulia suluhu tu ,jamaa anakela hasa
Nimeicheza aisee ila naona kama hili kapunguza makali maana nimepiga naye game moja tu kakimbilia suluhuView attachment 1442222
Sent using Jamii Forums mobile app