Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Sasa mimi na wewe nani akalime?Nikiri kwamba mimi sikuwahi kuhisi nina kasoro kwenye draft hasa baada ya kula vijero jero kuanzia shule mpaka uraiani lakini hii dalmax mamayo zake
Game ya 40 sasa sijaona hata mwanga wa ushindi😂
Jamaa game ya kwanza kanishona. La pili nikamshona la 3 suluhu.
La nne suluhu.
Halafu akinotice formula hii unamfunga atahakikisha hauweki kete katika mtindo wa kumpa tabu.
Kashajua formula zangu 2 na kazitight mpaka tunatoka suluhu.
Wewe ni kibonde katika hizi mambo. Baba yangu ni mzee Profesa Jitu Kali Jitu la Mabao. Kama humjui huyo mzee basi wewe ulikua huchezi drafti ulikua unacheza masikhara.