Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mashabiki lialia akili zenu huwa Ni Zero.
No wonder people are making you stepping Stones to wealth.
Very stupid
mbona habari zina mvuto kabisa mkuu angalia habari za nyau fc utaandika nini? kama fainal ya jana ilikuwa ya kibwege tu hakuna cha maana utaandika nini?
Mmeshindwa mpira mnakimbilia kuuza habari nenda uwanja wa Mkapa uliza wenye baa wanavyopata faida siku Simba ikichezaMuulize mwandishi yeyote wa habari za michezo Tanzania. Atakwambia Yanga ndiyo inauza habari.
Yanga ndiyo klabu yenye matukio mengi positive au negative yanayoandikwa na kuripotiwa Tanzania.
Sports arena ya wasafi leo kaangalie comments Youtube uone jinsi watu walivyowaponda kwa kutozungumzia Yanga na kuzungumzia Simba. Nenda ukascroll live comments za sports arena leo ndiyo ujue watanzania hawajali sana habari za Simba au Azam.
It's all about bussiness ...
Tupitishe kampeni tusinunue magazeti yaoMiaka ya nyuma tunanua Yusuph Manji alikuwa anawanunua sana waandishi wa habari waandike kuhusiana na yeye na Yanga. Na moja ya magazeti ambayo yalitumika sana ni MWANASPOTI.
Gazeti hili limeendelea sana kuandika habari za kishabiki,zisizo na weledi kwa kuangalia sana jinsi ambavyo wataipendeza Yanga kuliko uhalisia. Hebu jioneeni wenyewe taarifa za namna hii ktk gazeti. Ni bora tungejua tu kuwa ni gezeti la yanga basi.View attachment 1525764
Chichi ni swahiba wangu mkubwa, tena Yanga damu. Wanywaji wengi baa ile ni yanga, tatizo nyinyi watu wa mkoa huwa mnajifanya wajuaji mkifika mjini.Mmeshindwa mpira mnakimbilia kuuza habari nenda uwanja wa Mkapa uliza wenye baa wanavyopata faida siku Simba ikicheza
We manyani fc umetoroka msituni unabaki kushangaa huyo Chichi nimesoma naye primary wewe ndio inaelekea umetoka siyo tu mkoani bali msituni kamwulize primary amesoma wapi kama sio Chang'ombe kazi kubwekaChichi ni swahiba wangu mkubwa, tena Yanga damu. Wanywaji wengi baa ile ni yanga, tatizo nyinyi watu wa mkoa huwa mnajifanya wajuaji mkifika mjini.
Sorry.
Mnalalamikia hadi gazeti tena la mtu binafsi....... π π
Simba si walikua na gazeti lao sasa kwanini wasiandike huko wanachotaka kuandika.
usirudie kuandika pumba tenaUwezi ukafanya kipindi cha michezo kwenye TV,redio, gazeti au social media ukawa mbali na Yanga. Yanga ndio DNA ya mpira wa Tanzania yanga ilianzishwa 1935 ndio klabu pekee Tanzania iliyo anzishwa mwaka uo ambayo bado mbaka sasa inajishughulisha na soka.
Asilimia 70 ya wapenda soka Tanzania ni mashabiki wa yanga, uiandike/uisemee kwa mabaya au mazuri lakini bado utapata wafuatiliaji wengi wanao taka kujua unacho ongea au andika.
Sasa msiwalaumu waandishi wakati wao wanajua Yanga inauza habari. Ata msemaji wa mbumbumbu fc hawezi kusema bila kuitaja Yanga. Yanga ni kama pumzi. Simba ivi karibun wamechukua ubingwa lakini habari ya mjiini ni Yanga wanafanya nini.
familia yako inatabu kweliMuulize mwandishi yeyote wa habari za michezo Tanzania. Atakwambia Yanga ndiyo inauza habari.
Yanga ndiyo klabu yenye matukio mengi positive au negative yanayoandikwa na kuripotiwa Tanzania.
Sports arena ya wasafi leo kaangalie comments Youtube uone jinsi watu walivyowaponda kwa kutozungumzia Yanga na kuzungumzia Simba. Nenda ukascroll live comments za sports arena leo ndiyo ujue watanzania hawajali sana habari za Simba au Azam.
It's all about bussiness ...