Hili Gazeti kwanini lisiitwe Yanga Sports? Si kwa mahaba Haya

Utaandika Manyani FC walivyoshangilia bao la kufutia machozi la Namungo.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
ivi unakumbukumbu nyau alipopigwa na LIBOLO Fc magazeti yaliandikaje
 
Uwezi ukafanya kipindi cha michezo kwenye TV,redio, gazeti au social media ukawa mbali na Yanga. Yanga ndio DNA ya mpira wa Tanzania yanga ilianzishwa 1935 ndio klabu pekee Tanzania iliyo anzishwa mwaka uo ambayo bado mbaka sasa inajishughulisha na soka.
Asilimia 70 ya wapenda soka Tanzania ni mashabiki wa yanga, uiandike/uisemee kwa mabaya au mazuri lakini bado utapata wafuatiliaji wengi wanao taka kujua unacho ongea au andika.
Sasa msiwalaumu waandishi wakati wao wanajua Yanga inauza habari. Ata msemaji wa mbumbumbu fc hawezi kusema bila kuitaja Yanga. Yanga ni kama pumzi. Simba ivi karibun wamechukua ubingwa lakini habari ya mjiini ni Yanga wanafanya nini.
Yanga hii hii ya 4-1 ambayo ukiwa na rasta na jezi ukapita mitaa ya twiga unasajiliwa?
 
Mashabiki wengi wa mbumbumbu fc wanatabia za aliyewahi kuwa mchezaji wao Tomasi karume.
 
Simba someni gazeti la Champion, tena mhariri wake ni mwenzenu!
 
Uwezi ukafanya kipindi cha michezo kwenye TV,redio, gazeti au social media ukawa mbali na Yanga. Yanga ndio DNA ya mpira wa Tanzania yanga ilianzishwa 1935 ndio klabu pekee Tanzania iliyo anzishwa mwaka uo ambayo bado mbaka sasa inajishughulisha na soka.

Asilimia 70 ya wapenda soka Tanzania ni mashabiki wa yanga, uiandike/uisemee kwa mabaya au mazuri lakini bado utapata wafuatiliaji wengi wanao taka kujua unacho ongea au andika.

Sasa msiwalaumu waandishi wakati wao wanajua Yanga inauza habari. Ata msemaji wa mbumbumbu fc hawezi kusema bila kuitaja Yanga. Yanga ni kama pumzi. Simba ivi karibun wamechukua ubingwa lakini habari ya mjiini ni Yanga wanafanya nini.
Mtabaki hvyo hvyo na 1935. Nn kinadanyika kwa umri huo ZERO
 
Muulize mwandishi yeyote wa habari za michezo Tanzania. Atakwambia Yanga ndiyo inauza habari.

Yanga ndiyo klabu yenye matukio mengi positive au negative yanayoandikwa na kuripotiwa Tanzania.

Sports arena ya wasafi leo kaangalie comments Youtube uone jinsi watu walivyowaponda kwa kutozungumzia Yanga na kuzungumzia Simba. Nenda ukascroll live comments za sports arena leo ndiyo ujue watanzania hawajali sana habari za Simba au Azam.
It's all about bussiness ...
Yawezekana kwan minyani c midude ya hovyo tu
 
Yanga ni timu ya wananchi na Mwanaspoti ni gazeti la Mwanachi
 
Nakumbuka Manyani FC/ Mbwa walivyopigwa na Simba 4-1 jinsi ambavyo magazeti yaliandika. "SIMBA YAIFUNGA YANGA 4-1 KWA MBINDE SANA"

NA LUC EYMAEL AKAGUNDUA KUMBE KWELI ANAFUNDISHA MANYANI NA MASHABIKI YANAPIGA KELELE KAMA NYANI AU MBWA.HAWANA ELIMU

ivi unakumbukumbu nyau alipopigwa na LIBOLO Fc magazeti yaliandikaje
 
Hili jambo huwezi lielewa. Kama ni mshabiki wa yanga utaishia tu ku prove alichosema Luc Eymael kuwa mashabiki wa Yanga ni manyani na mbwa pia hawaelimika.
Bora Eymal alisema washabiki hawajelimika.Ausseum alisema bodi ya Simba imekaa wajinga na wasiojielewa.Hawajui mpira.Hebu fikili bashite Ni mshauri wa bodi,unategemea Nini hapo?
 
Yanga ndio ina mashabiki wanaonunua magazeti ya michezo kwa sana..

Wafanyabiashara wanalijua hilo..

Gazeti bila kuweka habari ya yanga.. na kichwa cha habari kikubwa kuhusu yanga haliuziki sana..

Hiyo ni mbinu ya sales
 
Uwezi ukafanya kipindi cha michezo kwenye TV,redio, gazeti au social media ukawa mbali na Yanga. Yanga ndio DNA ya mpira wa Tanzania yanga ilianzishwa 1935 ndio klabu pekee Tanzania iliyo anzishwa mwaka uo ambayo bado mbaka sasa inajishughulisha na soka.

Asilimia 70 ya wapenda soka Tanzania ni mashabiki wa yanga, uiandike/uisemee kwa mabaya au mazuri lakini bado utapata wafuatiliaji wengi wanao taka kujua unacho ongea au andika.

Sasa msiwalaumu waandishi wakati wao wanajua Yanga inauza habari. Ata msemaji wa mbumbumbu fc hawezi kusema bila kuitaja Yanga. Yanga ni kama pumzi. Simba ivi karibun wamechukua ubingwa lakini habari ya mjiini ni Yanga wanafanya nini.
Fikiria simba inacheza na esperance halafu yanga inacheza na singida ipi habari au Simba inacheza fainal ya ascf cup na yanga inalumbana na wachezaji wake kuhusu mikataba ipi habari hawa waandishi wenu vilaza ndio wanawaponza kufikiri mna timu ya maana kumbe sifuri
 
Yanga ndio ina mashabiki wanaonunua magazeti ya michezo kwa sana..

Wafanyabiashara wanalijua hilo..

Gazeti bila kuweka habari ya yanga.. na kichwa cha habari kikubwa kuhusu yanga haliuziki sana..

Hiyo ni mbinu ya sales
Duuuh! Ndio kusema jamaa kwel manyan
 
Mkaruka mzee wa misukule
Magazeti yashajua mashabiki ni "Misukule" ya Simba na Yanga.

Basi kila siku Front Pages ni Simba, Yanga, Simba, Yanga.

Ukiandika taarifa ambazo haziwapendezi hao mashabiki, gazeti lako halinunuliki.

Mpaka mpira wa bongo umeshindwa kukua, licha ya kuwa na lundo la wananchi wapenda soka!
 
Back
Top Bottom