Hili Gazeti kwanini lisiitwe Yanga Sports? Si kwa mahaba Haya

Hili Gazeti kwanini lisiitwe Yanga Sports? Si kwa mahaba Haya

Hili sio gazeti bali ni kijarida cha jangwani.
Nimesoma habari yao moja wameandika wachezaji kumi wa kigeni waliotamba Tanzania utacheka.
Wamo Okwi, Kagere, Ambani, Tambwe, Molinga, Ngoma, Makambo, Bigrimana na Kipre Cheche hao wawili wa mwisho kawaweka ili asionekane kama yeye ni upotolo
 
Back
Top Bottom