Hili jambo lilinifanya nikatae kujiunga na Jeshi. Niliona ni udhalilishaji

Inama halafu unakohoa ila nyie vitu vingine basi tu ndio vipimo vya kujiunga na jeshi hutaki usiende
 
Kama uko intact huwezi kuogopa hata kikosi kizima kikuangaliae. Yawezekana huna marinda ndiyo maana uliogopa kwa vile watajua huna bikra
 
Majeshi yapi?
Kwa nchi nyingi za nje na ndani ya Africa vigezo vya kujiunga na jeshi vinafanana

Lengo kubwa la kuichunguza sehemu ya haha kubwa huwa ni kuangalia kama muhusika ana bawasili au la, hilo la ushoga limekuja siku SI nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…