Hili jambo linanifikirisha sana

Hili jambo linanifikirisha sana

Unataka uthibitishiwe vipi? Tukuonyeshe sura, rangi, sauti au kwa namna gani?
 
Nioneshe hata picha naweza nikakuamini
 
Not guaranteed lakini at least kwa watu wenye profession izo,
Sasa unajuaje kua hao wenye hizo profession hawamo humu?

Haya mambo ya kiimani huwezi kupata jibu,ni issue ya imani,na imani maana yake ni kuamini jambo ambalo huwezi kulithibitisha.
 
Kwenye kila movie Kuna sterling na jambazi...
Ila hii movie sterling kaua watu wengi kuliko jambazi...jambazi hajawahi kuua watu bila maelekezo ya sterling... sterling anajitangaza ye mwenyewe kwamba ni mzuri na ukihoji uzuri wake unapigwa adhabu ..

Hao wazungu washaachana na hayo mambo na wamefocus na maendeleo yao...we wa chambawima bado unapandana nayo
 
Umenena vyema jamaa ni kamba tupu
 
Back
Top Bottom