Hili jambo linanigharimu sana

Hii ni kweli.
Wanaume naturally huwa tunamheshimu mwanamke tuliyemkuta bikira.

Ila nyie viruka njia, huwa tunaweka mguu mmoja ndani mmoja nje. Hatuwezi muamini mwanamke aliyetumika.
 
Aisee eti ushapiga hapo sana mkuu aibu yako kwa hadhi gani?? Mwenyewe huli mchana eti anatumbo umbo kama la mchagga 🤣🤣🤣 vuta bangi tu . Ukizinduka utajua hujui so tulikutana wapi
Mimi mwenyew najilaumu kutembea na wewe maana umenitia Nuksi tu Mru mbaya kama nini..
Nilijitia Nuksi maana kutembea na msichana mbaya imenitia nuksi siku hizi biashara Zangu haziendi kabisa..
Nimeamua kushinda mererani tu
 
Mimi mwenyew najilaumu kutembea na wewe maana umenitia Nuksi tu Mru mbaya kama nini..
Nilijitia Nuksi maana kutembea na msichana mbaya imenitia nuksi siku hizi biashara Zangu haziendi kabisa..
Nimeamua kushinda mererani tu
Hebu mdefine huyu unique flower kuanzia juu mpaka chini ,mrefu au mfupi??
 
Nahamu nikufungulie siri zangu ili unielewe wanaume wanatumia wanawake kupatia utajiri namimi ni muhanga nikawaza what nisingetoa utamu leo kofuli lingekuwepo na maisha ningekuwa nayo.
Kwanini wanawake wa siku hizi huwa mnawaza kwamba wanaume wanawatumia kufikisha malengo yao.
 
Mambo ya kujirusha maghorofan hayaanziagi kwa wakati huo, yanaanziaga huku.

My dear sister (if its true), usijikatie tamaa wala. Kukosea ulishakosea, cha kufanya kwa sasa ni kurestructure maisha yako. Nikiwa mmoja ya wadau tunaopenda kucomment mambo haya, hakuna alie perfect hata aandike ushauri mzuri/mbaya kiasi gani. Kama umegundua haya, fanya maamuzi. Amua wewe kubadilika. Amua wewe kutulia na kutengeneza maisha yako. Haijalishi historia na mahali ulikopita, new life is possible. Toba, maisha mapya, focus...though sijui kama hata utanielewa, ila nimejaribu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…