BonventureSr
JF-Expert Member
- Nov 16, 2023
- 879
- 1,432
Kwan k imetanuka sana?
Ila kuna binadam sijui wanafikiria nni aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan k imetanuka sana?
Sijui ni wanawake hawa hubadili ID nakudis wenzao ili waonekane sio ila hawajui hatumindIla kuna binadam sijui wanafikiria nni aisee
Kwani tunauza nini??Njoo inbox ,nikuone ulivyo ndugu
Uyo binti Ni ke 100% [emoji4]Mna uhakika dada mau ni mwanamke? Isijekua ni mwanaume anatuchezea akili...
Hii ni kweli.Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu .
Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda lakati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati ,kupata shida ya vizazi,kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa .
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi ithink nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic .
Pole sn dada anguT
Tatizo lako unadhani ni pipe nahitaji hapana mie nahitaji unifariji kwa maneno matamu siulinibania kazi unafaida sasa baki hostest
Mweusi,Mnene umbo la kichaga (Nadhani unajua nachomaanisha),Mfupi,Uso mpana na Tumbo pia lipo ana tumbo pia ( Nadhani niliposema umbo la kichga ulinielewa)Nitakuamini ukiweka wajihi wake hapa.
Nishapiga sana Hapo mkuuIla Ume juaje mkuu😆😁😁
Aisee eti ushapiga hapo sana mkuu aibu yako kwa hadhi gani?? Mwenyewe huli mchana eti anatumbo umbo kama la mchagga 🤣🤣🤣 vuta bangi tu . Ukizinduka utajua hujui so tulikutana wapiNishapiga sana Hapo mkuu
Mimi mwenyew najilaumu kutembea na wewe maana umenitia Nuksi tu Mru mbaya kama nini..Aisee eti ushapiga hapo sana mkuu aibu yako kwa hadhi gani?? Mwenyewe huli mchana eti anatumbo umbo kama la mchagga 🤣🤣🤣 vuta bangi tu . Ukizinduka utajua hujui so tulikutana wapi
Hebu mdefine huyu unique flower kuanzia juu mpaka chini ,mrefu au mfupi??Mimi mwenyew najilaumu kutembea na wewe maana umenitia Nuksi tu Mru mbaya kama nini..
Nilijitia Nuksi maana kutembea na msichana mbaya imenitia nuksi siku hizi biashara Zangu haziendi kabisa..
Nimeamua kushinda mererani tu
Nasubiri jamani ehMimi mwenyew najilaumu kutembea na wewe maana umenitia Nuksi tu Mru mbaya kama nini..
Nilijitia Nuksi maana kutembea na msichana mbaya imenitia nuksi siku hizi biashara Zangu haziendi kabisa..
Nimeamua kushinda mererani tu
Kwanini wanawake wa siku hizi huwa mnawaza kwamba wanaume wanawatumia kufikisha malengo yao.Nahamu nikufungulie siri zangu ili unielewe wanaume wanatumia wanawake kupatia utajiri namimi ni muhanga nikawaza what nisingetoa utamu leo kofuli lingekuwepo na maisha ningekuwa nayo.
NImeshamchana mwamba back ways rudi kasome..Nasubiri jamani eh
Majuto ni sawa na toba, hongera.Hapana ila najutaga tu
Mkuu! Sidhani kama ataelewaUnique Flower please acha hizi mambo Bhna Relax nakuomba