Ngoja nianze kuyahesabu, kesho nitaleta majibu πKwani mabwawa yako mangapi? πππ
Tumechoka kweliAna hoja asikilizweβ¦!!
Sema kaileta muda mbaya watu wamechoka.!! ππππ
YesNa inatesa watu wengi bila kujua, wengi wanasingizia kurogwa ,kumbe wamejiroga wenyewe na wanaendelea kujiroga
Yeye hataki maendeleo, anataka mume wa kumpenda na kuacha kumrogaMsaidieni dada mwenzenu anzisheni chama chenu cha wanawake na maendeleo
Ila babu πππNgoja nianze kuyahesabu, kesho nitaleta majibu π
Ila halipungui moja πππ
Tuko hoi πππTumechoka kweli
Maana kusoma zile comment kule page 106+ sio kitotoπ€£π€£
Nachekaπ€£π€£π€£Tuko hoi πππ
Couple pendwa ya jf ile lazima jiji la jf litetemeke
Sasa si muende pm.!! πππTutafunga comments tuwe tunacomment wawili tu hatutaki nzi π€£π€£π€£
Umemaliza story yako kule jukwaa pendwa? π€Swadakta
Tukienda pm mods wanafaidi peke yaoSasa si muende pm.!! πππ
Wapambe lazima tuwepo wa kuchachua shughuli wee vipi?? Au unaogopa kupinduliwa??
Story ipi hiyo madameUmemaliza story yako kule jukwaa pendwa? π€
Ndio muache tutoe maoni, uone mishangazi ya shem itakavyotutupia mawe siku hiyo ππππTukienda pm mods wanafaidi peke yao
Bora tuyamwage humu waja wasikose la kusema
Ile ya Kenya au sio wewe jamani....kule kwa Riki boyStory ipi hiyo madame
Sio mimi madameIle ya Kenya au sio wewe jamani....kule kwa Riki boy
Huyu manzi bettri zimekata moto kbsaNadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.
Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.
Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Na ashasema anapenda kudekezwa sijui itakuwaje....itabidi da maua anifunde hata kwa mkopo maana mimi kwenye kudekeza nimepata FNdio muache tutoe maoni, uone mishangazi ya shem itakavyotutupia mawe siku hiyo ππππ
Maana da Joana alisema shem alikuwaga na mishangazi humu πππ
Onhoo samahani boss itakuwa nmekosea idSio mimi madame
Nimefanya nini Mjukuu πIla babu πππ
Kesho uwahi kuleta idadi