Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
- Thread starter
- #361
Sio kumekucha kunawaka juaMmmh, unakumbuka shuka tayari kumekucha!
Sio kumekucha kunawaka juaMmmh, unakumbuka shuka tayari kumekucha!
Halafu wadada wengi humu wanafiki , wana ID hamsini , badala ya kusupport vitu vya kujenga wana support wanaume mwisho wa siku haileti picha nzuri ni mbaya nakusikitishaLabda na mimi nina bipolar maana mimi naona nyuzi zake za kawaida tu, nadhani humu ndani kuna watu maalum wanajifanya wana akili sana na kuwafanya wengine wajinga, kuna yule kid kidukulile alikuwa anajimwambafai humu basi akipost kitu chochote walikuwa wanamuambia dishi limeyumba, kuna masuala ya unyanyasaji wa mitandaoni huu ni mmoja wapo, tuacheni mambo ya kijinga inawezekana kuna wana wawili watatu waliwahi kujisevia kwa da mauwa kwa hiyo wanajikuta wajanja wakati ni mambo ya kawaida tu, ache acheni ushamba uliopitiliza, tena kuna mademu utakuta wanaunga mkono mambo kama haya ujinga mtupu, kabla hujamuona mwenzako dishi limeyumba, una uhakika na wewe hatukuoni hivyo hivyo sema tu tumeamua kukustiri?
Bikra zenyewe siku hizi ni za kutafuta kwa tochi..!! labda la pili B hukoo..!!Dah! Kuna wengine wakijua huna wanajenga madharau
😂😂😂😂Umeona nini?? Leo nimechoka kusamaraizi wifi 😂😂😂😂
Hongera mkuu,mbona unahikatia tamaa? wengine sie tumeachwa na watoto lakini hatujikatii tamaa
Pole sana mkuu,Halafu wadada wengi humu wanafiki , wana ID hamsini , badala ya kusupport vitu vya kujenga wana support wanaume mwisho wa siku haileti picha nzuri ni mbaya nakusikitisha
Haswaaa.Swadakta
Ndo kazi yako kuu hapa JF [emoji23][emoji23][emoji23]Udugu nimechoka toka juzi niko kusamaraizi mtaniua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
How!!Usiwe negativity kuwa positive
Tulia niongee nayeAtupe online class tutalipia
Melo aanze kunilipa namsaidia kuwapa maelezo kwa kina member wa forum yake 😂😂😂😂Ndo kazi yako kuu hapa JF [emoji23][emoji23][emoji23]
Inauma kukosa nyapu za bure humu, mademu wa humu wengi wao pesa mbele na mimi sio mjinga au limbukeni wa nyapu ninunue kitu ambacho hajakigharamikiaInauma nini?
Sio kuwaka jua tu na joto 49 degrees centigradeSio kumekucha kunawaka jua
Hiyo ya ID 50 Nakubali nikweli, kuna ID humu ni kubwa zinatrend sana lakini utakuta ni mtu yule yule jaribu kuwatongoza sasa, utakuta anakuuliza maswali yanayofanana na demu mwengine uliomtongoza, sio maswali general ambayo kila mwanamke unayemtongoza atauliza, ni very specific, sasa hata kama una haraka ya kupata mwanaume, unadhani mtu huyo huyo mmoja kukutongoza kwa ID tofauti ndio itakuwa rahisi kwako kumpata? Wewe ukitongozwa kwa mchizi umemuelewa unamkubalia tu sio kuzungushana, mwanaume halisi hapendi kuzungushwa sana kwenye mambo hayaHalafu wadada wengi humu wanafiki , wana ID hamsini , badala ya kusupport vitu vya kujenga wana support wanaume mwisho wa siku haileti picha nzuri ni mbaya nakusikitisha
Na wakichanwa wanakuwa wakali kweli kweli [emoji1][emoji1][emoji1]Kitu nachokupendea maua huwa unawachanaga ukweli
Amri ya Saba>Usiibe.Hiyo ni amri ya 7 sio ya 6,kasome vizuri biblia yako .