Hili jambo linanigharimu sana

Angalau umeliona hilo na umezinduka usingizini.
Wengine hawajawahi hata kufikiri unavyofikiri wewe.

Chukua hatua kwenye maisha hakuna kuchelewa il mradi bado una uzima.
 
Nimeamini hili ni dishi la continental au zuku
 
Pole sana mkuu kwa kuchelewa kulijua hili mapema.

Kwa sisi Wakristo, Biblia imesema bayana madhara ya uzinzi, soma 1 Wakorintho 6:15-20, Ufunuo 21:8, Yakobo 4:4 n.k, maandiko yako mengi.

Biblia imesema ukifanya uzinzi unafanyika kuwa mwili mmoja na yule uliyezini naye, kama alikuwa na roho/pepo la umaskini linahamia kwako, kama alikuwa na pepo la kukataliwa, n.k yote yanahamia kwako.

Ila nikutie moyo kwamba bado hujachelewa. Unaweza kutengeneza na Mungu wako kwa kufanya sala ya toba na kuahidi kutorudia tena. Kwa sala ya toba utavunja maagano yote uliyoyafanya kwenye uzinzi.

Mungu akutie nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…