Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Angalau umeliona hilo na umezinduka usingizini.
Wengine hawajawahi hata kufikiri unavyofikiri wewe.

Chukua hatua kwenye maisha hakuna kuchelewa il mradi bado una uzima.
 
I don't need fuckers like you JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala you shit mother fucker shit . Bro i dont care about anyshits in here i care about my self you fucker bitch ass hle do not start me you niggar JamiiForums' Community Engagement Guidelines | Mwongozo wa Ushiriki kwenye Mijadala yourself and all mother fuckers you know including who raise you and give birth to you. Shit naukinijibu tena wewe malaya ambaye hujitambui unadata na id za watu wewe nitafute takataka chafu bwa koko nani anatakaga mataka taka yasio onekana dishi limeyuma labda lamamako mzazi na ukoo wenu mbwa , unanuka kikwapa cha shombo ya samaki kenge wewe ml watu
Nimeamini hili ni dishi la continental au zuku
 
Nadhani mtu anajua kuna amri kumi za Mungu. Sasa hii ya amri ya 6 tunaipuuziaga ila ndani ya hii amri Mungu alificha mengi.

Nimekuja kujua tunda la kati kati ni tamu ila madhara yake ndio kutoolewa kwa wakati, kupata shida ya vizazi, kuwa na maroho ya ajabu ajabu ambayo yanaweza kuharibu mambo yako kabisa. Kisa ulifanya mapenzi na watu kadhaa.

Ndio kusalitiwa ndio kubadilisha badilisha wanaume nakutojielewa unatakaje. Kweli ningekuwa nimejitunza walahi I think nisingekuwa single na jikomba ili status ibadilike mtu bikra hajikombi anapata kitu classic.
Pole sana mkuu kwa kuchelewa kulijua hili mapema.

Kwa sisi Wakristo, Biblia imesema bayana madhara ya uzinzi, soma 1 Wakorintho 6:15-20, Ufunuo 21:8, Yakobo 4:4 n.k, maandiko yako mengi.

Biblia imesema ukifanya uzinzi unafanyika kuwa mwili mmoja na yule uliyezini naye, kama alikuwa na roho/pepo la umaskini linahamia kwako, kama alikuwa na pepo la kukataliwa, n.k yote yanahamia kwako.

Ila nikutie moyo kwamba bado hujachelewa. Unaweza kutengeneza na Mungu wako kwa kufanya sala ya toba na kuahidi kutorudia tena. Kwa sala ya toba utavunja maagano yote uliyoyafanya kwenye uzinzi.

Mungu akutie nguvu.
 
Back
Top Bottom