Hili jambo linanigharimu sana

Hili jambo linanigharimu sana

Tutafunga comments tuwe tunacomment wawili tu hatutaki nzi 🀣🀣🀣
Sasa si muende pm.!! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wapambe lazima tuwepo wa kuchachua shughuli wee vipi?? Au unaogopa kupinduliwa??
 
Tukienda pm mods wanafaidi peke yao
Bora tuyamwage humu waja wasikose la kusema
Ndio muache tutoe maoni, uone mishangazi ya shem itakavyotutupia mawe siku hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maana da Joana alisema shem alikuwaga na mishangazi humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom