uhurumoja
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 9,616
- 22,521
Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi.
Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni uongozi nje ya hapo tungekuwa na matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nchi ingekuwa mbali sana.
Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni uongozi nje ya hapo tungekuwa na matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nchi ingekuwa mbali sana.