Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpumbavu ndie huandika kuwa Mungu huchagua wapi wa kuwaepusha na mafuriko na wapi wa kutowaepusha.Kumbuka hasira hukaa kifuani kwa mpumbavu kama unavyojidhihirisha
Huko watu wamebabana mkuu idadi ya watu 80 Kwa tope la huko wangekufa zaidi ya8000.80+ na hayakuwa makubwa kama haya ya Valencia
Taswira iko wapi?
Tatizo kila mmoja anataka kuwa mwandfishiSafi picha inafafanua vema
Duuuh ngoja niruke AljazeeraSina utalaam wa kuweka picha mkuu hope mtu atakuja kuweka ila sio poa nimepaona Valencia ni dhoruba mbaya hadi game ya Madrid imeahirishwa
Umeona eeeeh.Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi.
Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni uongozi nje ya hapo tungekuwa na matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nchi ingekuwa mbali sana.
Amani na ushirikiano ni TUNDA LA HAKI.Citizen Journalism mapungufu ya taarifa hutokea
Valencia ni Spain
Kumetokea mafuriko makubwa sana ambayo yameua watu zaidi ya 200 na kuharibu makazi
Hali hii imepelekea hata michezo mikubwa kama Madrid vs Valencia kuahirishwa
Watu wameingia mtaani na Kila zana kufanya usafi wa mji
Watu hao waume kwa wake wameshirikiana vizuri
Kazi kweli kweli 🖕🖕🖕🖕jipige dole mkuu muwasho utapungua
Kumbuka hasira hukaa kifuani kwa mpumbavu kama unavyojidhihirisha
NakubaliAmani na ushirikiano ni TUNDA LA HAKI.
Popote watu wanapotimiziwa haki zao, huwa na moyo wa kujitoa kwa jambo lolote.
Ukiona mahala vitu hivyo hakuna, ujue HAKI imeminywa. Na mahala hapo watu hujaa chuki sana
Hao wanaishi jinsi binaadamu wanatskiwa waishi, wao mtu akiuawa wanakwenda kuweka maua na kadi mahali palipotokea tukio, sisi ndiyo kwanza tunabeza na kupiga vijembe!Nawaangalia wakazi wa Valencia namna wanashirikiana kusafisha mji wao hadi Raha maana bila kujali muonekano wala nini wote wanakula tope mwanzo mwisho tena wakiwa na staha sio Madera bila chupi Wala vifua wazi.
Sisi Mungu katuepusha na majanga makubwa kama haya ya asili sema kinachotuangusha ni uongozi nje ya hapo tungekuwa na matumizi mazuri ya fedha na rasilimali nchi ingekuwa mbali sana.