Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

Mpumbavu ndie huandika kuwa Mungu huchagua wapi wa kuwaepusha na mafuriko na wapi wa kutowaepusha.

Huna akili takataka
Kazi kweli kweli 🖕🖕🖕🖕jipige dole mkuu muwasho utapungua
 
Umeona eeeeh.

Ungeambatanisha na picha/video ingependeza ...
 
Amani na ushirikiano ni TUNDA LA HAKI.
Popote watu wanapotimiziwa haki zao, huwa na moyo wa kujitoa kwa jambo lolote.
Ukiona mahala vitu hivyo hakuna, ujue HAKI imeminywa. Na mahala hapo watu hujaa chuki sana
 
Amani na ushirikiano ni TUNDA LA HAKI.
Popote watu wanapotimiziwa haki zao, huwa na moyo wa kujitoa kwa jambo lolote.
Ukiona mahala vitu hivyo hakuna, ujue HAKI imeminywa. Na mahala hapo watu hujaa chuki sana
Nakubali
Uzalendo kwa wenzetu ni mkubwa sana lakini lawama zimesikika miongoni mwao wakilaumu namna serikali ya Jimbo imechelewa kuchukua hatua
 
Unapaniki sana kijana sio afya kwa mwili na akili Yako😂just chill and relax
 
Hao wanaishi jinsi binaadamu wanatskiwa waishi, wao mtu akiuawa wanakwenda kuweka maua na kadi mahali palipotokea tukio, sisi ndiyo kwanza tunabeza na kupiga vijembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…