Hili janga lililopiga Valencia utaona sisi Mungu anatuepusha na mengi sana

Hilo janga limeonyesha kabisa Mungu hayupo 🤔
 
Kuna wengi hawaangalii taarifa za habari wala kinachoendelea duniani, hivyo basi kama habari inaandikwa iandikwe kwa ukamilifu ili kila mmoja aelewe
Wakati mwingine ukamilifu hutokea katika kujadiliana maana muandishi huchagua angle ambayo ameielewa katika kuchangia ndio habari hukamilika ni kuvumilia na kuzuia hisia kwa kuuliza maswali mbona yanajibika sema mitandaoni jazba na ujuaji huwa mbele sana
Mfano mwingine huleta habari ya kiingereza na watu watataka tafsiri na mwingine huleta habari nzima na watu watataka summary ili mradi tu
 
Mpumbavu ndie huandika kuwa Mungu huchagua wapi wa kuwaepusha na mafuriko na wapi wa kutowaepusha.

Huna akili takataka
Upo sahihi mkuu Mungu huzingiziwa mengi. Ni ulofa kusema Mungu kapeleka mafuriko hapa au pale
 
Nimekuelewa vizuri, pia nisamehe kama nimekukwaza
Najua watu tuko tofauti
 
Video?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…