Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
25,937
Reaction score
41,161
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana kisiasa na kiimani.

6. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏
 
HAli SI Hali,

Muda wote unapitia habari mbalimbali kusikia chochote Cha kutokea chenye kuleta tumaini au nshtuko.

Joto hili SI zuri.

Tujisahihishe kwa kuangalia njia Bora za kulisusha
 
Lissu effects
Yaani kuna njaa ya breaking news ya hatari!

Ya Nini haya yote?

Kwanini tusipate good news za matumaini hata mbili tatu,

Yaani Kila siku ni afadhali ya Jana?

Wazee wa taifa hili mko wapi?
 
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏
acha upotoshaji gentleman,
labda joto limekupanda wewe kwasababu una homa, but hakuna anaebabaika na hizo porojo nonsense za waropokaji waliopoteza uelekeo wa kisiasa,

Taifa linakamilisha maandalizi ya uchaguzi mkuu kwa amani, na kampeni zinaanza rasma tar.28.8.2025 wiki ijayo, :NoGodNo:
 
Watu wa spinning mmeshindwa kweli kupunguza joto hili kwa kutuletea wananchi good news hata mbili tatu?


Hii SI sawa.
 
Back
Top Bottom