Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Tuwaombee wasizime mitandao kwa makusudi au wakemewe waache ujinga?

Yaani CHADEMA wasikutane wala kutembeleana, muda wote ni kitafutwa kama digidigi?

Ni kwa faida ya nani hii?
IOmbeeni sana hii ardhi.
 
Usiwasanue.... Mi nimeongea mara nyingi sana kwenye thread zangu MODS wameishia kuniita mchochezi na kufuta Kila thread hata Zile zenye maslahi mazuri Kwa taifa
Mimi Rohoni naona nimebeba kitu kizito sana na nahisi hatuko salama kama nchi,

Hivi kwa mfano wakiruhusu Makanisa ya ufufuo na uzima kufunguliwa,

Hawaoni kwa kiasi Fulani joto litapungua?

Sasa Kila siku tunasikia bad news za kufifisha mioyo na matumaini ya watu, Ili iweje?
 
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana kisiasa na kiimani.

6. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏

kwa hatua tuliofikia, mlipuko utokee tu. Tudili na wahuni uso kwa uso.
 
Mbaya zaidi hoja nzito hazijibiwi,

Badala yake tunaona matendo ya kifedhuli yanaendelea Katika ukimya na sintofahamu hiyo.
Kwanini?
 
Chura akiruka juu atakapotaka arudishe miguu ardhini atakutana na moto(watu wanachochea Kuni huku chini yeye hajui)..na hapo ndipo utakuwa mwisho wake. Yangu masikio na macho
 
Ulishawahi kufikkkiri kuwa unaweza kuambiwa siku moja kuwa, ikifika saa kumi na mbili jioni uwe umelala nyumbani kama kuku?
tutazoea. Tusiogope mabadiliko. Yaitwe mazuri ama mabaya. mabadiliko ni mabadiliko. Nchi imeshajifia
 
Chura akiruka juu atakapotaka arudishe miguu ardhini atakutana na moto(watu wanachochea Kuni huku chini yeye hajui)..na hapo ndipo utakuwa mwisho wake. Yangu masikio na macho
Kuna alarm 🚨 inagonga kichwani kuashiria kutokea jambo SI zuri,

Tuiombee nchi yetu Jamani, kuna kitu kibaya ingawa kina Nuru kuu mbeleni
 
Kuna alarm 🚨 inagonga kichwani kuashiria kutokea jambo SI zuri,

Tuiombee nchi yetu Jamani, mbeleni kuna kitu kibaya ingawa kina Nuru kuu mbeleni
katika mifumo ya nchi nilidhani Mahakama ina nafuu, ila nimebaini nayo "hamna kila kitu". Wahuni wanaendesha nchi watakavyo! HAIWEZEKANI X3
 
Mashahidi wa lisu,kimama ma wale vibaba wawili..Lissu ni hazina jamani
 
Ni muda muafaka sasa kwa Maaskofu wapigania haki kutangaza maandamano ya amani kulinusuru Taifa letu dhidi ya uonevu huu wa waziwazi kabisa wa Serikali ya CCM
 
Watu wa spinning mmeshindwa kweli kupunguza joto hili kwa kutuletea wananchi good news hata mbili tatu?

Watakuja na kubwa kuliko😆😄

Maana ya Nabii Tito ilishapitwa na wakati, kikombe cha Babu kiliwafaa wakati ule, mechi ya Simba na Yanga imeshachezwa... Wakiibuka huko lazima mtu atapishwe nyongo ili nchi ihamie huko.

Unajua Ndugai hata mwezi bado tangu afariki na watu washasahau wamerudi kwenye mjadala wa Lissu?
 
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana kisiasa na kiimani.

6. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏
Hivi siku hizi CCM hawana Intelejensia? Huku mtaani wenye hasira kubwa dhidi ya CCM ni wana CCM wenyewe. Tumekwishaa
 
acha upotoshaji gentleman,
labda joto limekupanda wewe kwasababu una homa, but hakuna anaebabaika na hizo porojo nonsense za waropokaji waliopoteza uelekeo wa kisiasa,

Taifa linakamilisha maandalizi ya uchaguzi mkuu kwa amani, na kampeni zinaanza rasma tar.28.8.2025 wiki ijayo, :NoGodNo:
Mwamba inaonesha unalelewa na huruhusiwi kutoka ndani bila idhini ya Bwana yako.

Siku ukiyasikia ya huku Field utazimia nakwambia
 
Watakuja na kubwa kuliko😆😄

Maana ya Nabii Tito ilishapitwa na wakati, kikombe cha Babu kiliwafaa wakati ule, mechi ya Simba na Yanga imeshachezwa... Wakiibuka huko lazima mtu atapishwe nyongo ili nchi ihamie huko.

Unajua Ndugai hata mwezi bado tangu afariki na watu washasahau wamerudi kwenye mjadala wa Lissu?
Basi wapange mkutano, Ssh akutane na Fr Kitima waongee,

Mbona wababe wa Dunia Trump na Puttin wamekutana,

Sisi tuna uspesho gani?
 
Back
Top Bottom