Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Hili joto la kisiasa limepanda sana, tafuteni namna ya kulishusha kwa busara!

Wamepigwa upofu hawaoni hii yote ni katika kusudi la Mungu kuwaokoa watu wake. Kumbukeni enzi za MAGUFULI watu walilia mpaka wakamuachia Mungu akamaliza mchezo kilaini kabisa. Kwahiyo hata hili litapita sio jambo la kawaida uwauwe watu kama kina mdude halafu damu yao ipite hivihivi. Nilikuwa siwaamini wanaosema Mungu ataingilia kati soon ila sasa naanza kuamini kwasababu kuna unjust isiyo ya kawaida Yani watawala wanafanya uovu wa dhahiri halafu kesho wanaenda misikitini na makanisani hii sio kawaida huu ni moyo mgumu mno wa kumdhihaki Mungu. MAGUFULI alifanya hayahaya jumatatu mpaka ijumaa anateka watu na kuwapoteza wengine walipigwa risasi 16 ikifika jumapili anaenda kanisani kuleta porojo pale st Peter yaliyotokea ni historia. Acheni wawe na mioyo migumu ili maandiko yatimie.
 
"Bird dead, snake come"

images (2).jpeg
 
Trump, Zele na JD wamekinukisha huko ila fasta wakazima tifu ki utu uzima, ila damage tayari imeishasambaa, huku MaCCM hata hayawezi kuzima ili joto kama wenzao huko!
 
Hasa kitendo Cha Leo ule uamuzi wa kuwanyima Watu live nchi imevimba kama yote ukiondoa CCM - chawa. Kwenye bajaji, daladala watu wanasononeka tu wanaishia kusema Mungu atajua anapotupeleka.
 
Tunapoelekea ni pambaya sana by Lissu kabla ya kwenda jela alieleza ili kuhusu uchaguzi
 
Watakuja na kubwa kuliko😆😄

Maana ya Nabii Tito ilishapitwa na wakati, kikombe cha Babu kiliwafaa wakati ule, mechi ya Simba na Yanga imeshachezwa... Wakiibuka huko lazima mtu atapishwe nyongo ili nchi ihamie huko.

Unajua Ndugai hata mwezi bado tangu afariki na watu washasahau wamerudi kwenye mjadala wa Lissu?
Wanamtandao wanaweza kua wanafanya hivi makusudi then wafanye yao kwa kumweka mother pembeni ni kutokana na ali ilivyo wanaweka mtu mwingine then wanapata na saport wananchi maana aneonekana ni mbaya ni mother sasa wanamtandao kumgeuka sio jambo la kushaaa mbeleni wenyewe wakogo mbele ya Mda sana Wewe January kukatwa sio rahisi ivyo ngoja mda ni mwalimu mzuri
 
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana kisiasa na kiimani.

6. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏
SASA NDO WATU WAJUE KUWA MUNGU HAYUPO OTHERWISE ANGEINGILIA KATI MANA SEHEMU YA KUMWABU A KUMSIFU IMEZIMWA NA YEYE ANAONA TU. KUANZIA LEO KUSALI NI WASTAGE OF TIME
 
Salaam!

1. Polepole na press zake zisizojibika zimeleta sintofahamu.

2. Gwajima na Press zake pia zimelitibua zaidi.

3. Kuzima mitandao ni sintofahamu ingine.

4. Majizi kuchangia chama, nayo imezidi kuongeza petroli.

5. Nyumba za ibada kufungwa kwa zaidi ya mwezi sasa ni joto Kali sana kisiasa na kiimani.

6. Kufunga mikono CHADEMA Mahakamani na uraiani ni mtafaruku mwingine

6. Kuzuia wananchi kuangalia kesi ya Nabii wao Tundu lissu ni hatari ingine.

Ushauri: Kifanyike kitu Cha busara kupunguza hasira za wananchi kabla mripuko haujatokkea au Mungu kuingilia kati.

Nawasilisha 🙏
Viziwi wa kijani kwa msaada wa wakamata vyuma,jiandae kutoeleweka wala kusikika!
 
Leo ni 21 August, joto linasoma juu sana,

Kipina joto kinaelekea kupasuka, sasa kwa umri wa viongozi wetu, joto la namna hii kiafya huwa SI zuri.

Kwanini tusijisahihishe?
 
Back
Top Bottom