toa maharage hapo weka mchicha pori uliopikwa vizuri halafu pembeni weka ka mix juice ka pineapple na mango!.Karibu mkuu
View attachment 3217490
Sawa mkuuWafanye haraka tunataka kufika kaanani sie!
[emoji1787]waite The Forbidden forumhilo liitwe jukwaa la walioshindikana.
Kuna mada maalum ya wanywaji na walevi hujaiona?ππΏππΏππΏππΏMara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so vinywaji tunaviweka wapi ama mnataka kuwe na jukwaa la vinywaji pekee!..
Maxence Melo hebu liangalieni hili vyema.