Hili jukwaa libadilishwe title

Hili jukwaa libadilishwe title

KENZY

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
32,529
Reaction score
76,691
Mara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so vinywaji tunaviweka wapi ama mnataka kuwe na jukwaa la vinywaji pekee!..

Maxence Melo hebu liangalieni hili vyema.
 
Karibu mkuu
216838fe22684f01889d289ef64f155a.jpg
 
[emoji1787]Swadakta! pia waanzishe jukwaa la waliopigwa ban, ukipigwa ban mnaenda kujadili jukwaa la banned(kama jukwaa la wafungwa flani), ila access ya majukwaa mengine unakuwa huna ...
 
hilo liitwe jukwaa la walioshindikana..😅
 
Hata vinywaji vinapikwa ....husikii kule tibielo wanasema mpishi mukuu ya kilaji
najua vinapikwa lkn kwenye title hakuna neno kinywaji, kula tutakula lkn tutafika vipi kaanani bila vinywaji ndugu...🤣
 
Mara ya pili sasa nashauri tena hili jukwaa la mapishi libadilishwe title liitwe jukwaa la chakula na vinywaji!, Wahariri wa humu sijui hamulioni hili!, maana hapo linaitwa jukwaa la mapishi tu so vinywaji tunaviweka wapi ama mnataka kuwe na jukwaa la vinywaji pekee!..

Maxence Melo hebu liangalieni hili vyema.
Kuna mada maalum ya wanywaji na walevi hujaiona?🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
hiyo ni mada mimi nachotaka jukwaa lisomeke, chakula na vinywaji kwanini waite mapishi tu!, shida ni title tu
 
Refiner
Paw

Mi nitaendelea kuwa mind mpaka mniue tu lkn jambo langu litimie!..
mnapita hamtoi hata majibu kwanini...?????
 
Back
Top Bottom