Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.
Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.
Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.
Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.
Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.
Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..
Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?
Inamana tumezoeana sana ama?
Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah
Uzi tayar...