Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Sasa unaleta uzi huku ili tiukuonee huruma kuchangie au unatakaje maana sijakuelewa lengo lako
Nataka tu muone tabia za wanawake..akil sjui huwa wanaacha wap. Kama wew ni ke ndo ujue mna tatzo nyie
 
Wakuu ..siku mbili tatu hiz kuna majukum makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80...

Sasa nikabak na kapesa kadogo kakusukuma siku mbil tatu...

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref...huyu bint toka hyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na pum.bu zangu tuu

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Acha kuokoteza kila takataka na kupeleka nyumbani kwako. Heshimu chumba/nyumba yako kidoogo
 
Yaan mtu unatoka had kwenda ATM kisa mtu kachkua hela yako kimasihara hiv..si utumwa huu wa papuch...dah..na hapa ATM ya umoja sjui naipata wap karib....had shamo towers kule..dah..kwel huu ni utumwa...nilichopanga mfanya baada ya hil tukio nakijua mwenyew
Hahahahah akija utapiga atachukua laki 2 ingine tena! 😂

Kibarua ni wewe kutembea na gari bila hela hata ya hongo ya askari!😅 Au kwa miguu mpaka kuipata ATM
 
Kiufupi kakosea,yaan kitendo cha kukusearch tu tabia yake si njema imevuka mipaka.Haijalishi huwa unampa au humpi lakini huwa hatusearch wanaume.Mi mtoto mdokoz tu naweza piga nizike...naweka pesa popote na kwa muda wowote na nitaikuta hata niende wapi.Nikisema sina ni sina kilichopo kimepangiwa budget USIIBE
IBA UFE Japo sijafika kwako ila najua kauli mbiu hii inatenda miujiza mjengoni 😅😅😅
 
Umemzoesha hela kila akitaka unampa tu huu utoto ndio umemfanya akwapue hela bila kuomba kumaninr [emoji28][emoji28][emoji28] we pambana na hali yako maana kumuacha huna ubavu huo!

Maisha demu wangu hathubutu kunifanyia huo ushenzi!
Nmemwambia kuwa katika makosa ambayo kawai fanya..hilo ni kosa kubwa sana...sasa tena nadhan kanipa sabab ..yaan kanisaidia...hato kuja iona hela yangu had mwaka huu unaisha mam.ae zake
 
Nmemwambia kuwa katika makosa ambayo kawai fanya..hilo ni kosa kubwa sana...sasa tena nadhan kanipa sabab ..yaan kanisaidia...hato kuja iona hela yangu had mwaka huu unaisha mam.ae zake
Atakukimbia kabla ya mwaka kuisha kama ukianza huo msimamo!😂😂😂
 
Inategemea na jinsi ulivyomuanza na unavyomtreat maana kama mtu wako ukimwambia huna anaona kweli huna sasa huyo labda haaamini anahisi unamnyima tu maana kashazoea kukuona na mahela
Ni mwanamke asie na akil bas...after a long explanation kuwa sina hela anafanya hvyo...sasa atajuta..tena ndo amenipa sabab...yaan ni kama kanisaidia ..hatoiona hela yangu had mwaka huu unaisha
 
Yaan hyo kususa niliopanga kuufanya mwez mzima huu..atajuta..hapa katuma msg nmekaa kimyaa...tena kanipa sababu aisee..nahis kama amenisaidia aisee..yaan hata kuja ona hela yangu
Usimuache bana kama ni pisi kali, kwani laki 2 kitu gani! Pesa ni maua kumbuka

Ila jiandae tu j5 atakumbushia hela yake uliyomuahidi.
 
Hawezi kuwa na huruma sababu ulishamhakikishia unazo tu na yupo sababu anazipata hizo hela[emoji28]!!!

Kama utafikia kuoa huyo demu kwa siku za usoni hakikisha hio kazi unayofanya ya kukupa hizo pesa & butters haiishi kwa namna yeyote maana hamtakatiza miezi 6 ukiwa jobless kabla hajakulambisha mchanga!
Siwez oa hii manzi asee...nakula nae ujana tu...matatoo hayo yote naoaje kwa mfano
 
Back
Top Bottom