Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Yeah mwanamke bana ni kitu cha kuwa nacho makini sana when making a choice! Mwanamke ambae anakosa subira to that extent hafai kuwa mke hata kidogo! Nilishapigaga chini mwanamke mzuri sana kwa tabia hio hio ya kukasirika endapo akitaka hela ukawa huna😅😅😅
Hahaa hapo shida ipo kwa hao wote wawili.
Pesa kitu ingine bana😂 Penzi lishakufa hapo
 
Kiufupi sifai mkuu,hata kwenye Game ni ivoivo ukinikosea nategea muda unaotaka kupiz nachomoa ngoma naruka utabaki unahaha na kurusha manii kama bomba la maji lililopigwa msumari
Hahahahah hii kali kudadadeki lazma nikung’ang’anie kweri kweri kiunon
 
Itakua katingwa, chukua ushauri hapo juu mkope kidogo utairudisha ukipata....
Ila huyo mwanamke ni mwamba nimemuelewa sana...
Sithubutu hata kumuongelesha...napiga kususa hapa miez miwil hatoniskia saut yangu na hatoiona hela yangu had mwaka huu unaisha .tena ndo kanipa sababu
 
Ni mwanamke asie na akil bas...after a long explanation kuwa sina hela anafanya hvyo...sasa atajuta..tena ndo amenipa sabab...yaan ni kama kanisaidia ..hatoiona hela yangu had mwaka huu unaisha
Kwahyo kuanzia mwakani ndio atakula tena hela yako😂😂
 
kwamba akope pesa yake atarudisha! hii dunia ina vituko sana
Mkuu watu wanafanya sana hvyoo...unakuta umempa hela bint. Halaf mnatoka mnaenda kaa mnakunywa mnakula wote..ilifika mda wa kulipa...unalipa wew halaf labda inasalia lets say elf10...unamuomba tena hela halaf utamrudishia..tena unamwambia nikope nakupa tukifika home...hao viumbe ni hatar ndugu
 
Sithubutu hata kumuongelesha...napiga kususa hapa miez miwil hatoniskia saut yangu na hatoiona hela yangu had mwaka huu unaisha .tena ndo kanipa sababu
Asipokuja nae atakua kafeli, ukichuna hivo anatakiwa aje tena aje without naniliu..... viuno vya nyau utamwambia sorry umpe sasa rasmi ile 150 aliyoomba make ni kama haujampa
 
Screenshot mkuu kidogo convo/sms hiyo ya yeye kukuambia amechukua hela
 
Kiufupi kakosea,yaan kitendo cha kukusearch tu tabia yake si njema imevuka mipaka.Haijalishi huwa unampa au humpi lakini huwa hatusearch wanaume.Mi mtoto mdokoz tu naweza piga nizike...naweka pesa popote na kwa muda wowote na nitaikuta hata niende wapi.Nikisema sina ni sina kilichopo kimepangiwa budget USIIBE
Ni kwel dada. ..nadhan ni akil ya hawa maslay queen wetu wa buza
 
Sio jambazi tu huyo ni Sabaya ila mwenye maumbile ya kike, Sabaya ndio alikuwa anazama kwenye maduka anapekua hela anaondoka nazo, huyo akipewa U-DC atakomesha watu 🤣
😂😂 Ila me nimependa ujasiri wake, kakomba zooote hajataka shida
 
Back
Top Bottom