Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Hahahahah akija utapiga atachukua laki 2 ingine tena! [emoji23]

Kibarua ni wewe kutembea na gari bila hela hata ya hongo ya askari![emoji28] Au kwa miguu mpaka kuipata ATM
Hahahahahah...kwamba aje nipige ..hata ham ya papuch yake sina kwa hasira niliyonayo
 
Atakukimbia kabla ya mwaka kuisha kama ukianza huo msimamo![emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee. Navyomjua .na jins nilivyomtumia had leo. Hana jeur ya kukimbia. Sanasana mim ndo na m keep..namwonea huruma kumuacha yan..hana jeur ya kuniacha mim hata mara 1.hahahah..mkuu....hawa watu sasa hiv ndo wanatuhitaj more than ever
 
We huna jeuri ya kumuacha, na yeye pia hivo hivo....mnapendana sana nyie.
 
Aisee. Navyomjua .na jins nilivyomtumia had leo. Hana jeur ya kukimbia. Sanasana mim ndo na m keep..namwonea huruma kumuacha yan..hana jeur ya kuniacha mim hata mara 1.hahahah..mkuu....hawa watu sasa hiv ndo wanatuhitaj more than ever
Anakuhitaji sababu unacheua mipunga! Ukimpeleka accapela miezi kadhaa lazma apige chini tu! Mwanamke anaeongozwa na njaa sio wa kumuamini.
 
Asipokuja nae atakua kafeli, ukichuna hivo anatakiwa aje tena aje without naniliu..... viuno vya nyau utamwambia sorry umpe sasa rasmi ile 150 aliyoomba make ni kama haujampa
Maneno yako yanachoma kama mwiba
 
Back
Top Bottom