Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Ni shujaa na jasiri anayejua nini anachokitaka na jinsi ya kukipata, alikuwa anamuomba jamaa kwa heshima tu, sasa yeye hakumheshimu🤣
🤣🤣🤣 Aki nimecheka sana!

Next time natumai hatarudia kosa.
 
Ni kweli mkuu, daah pole sana.
Kama una SimBanking fanya muamala hapo chap
Siipend hyo huduma siitumii kabisa...manaa kama una malengo huwez fikia ...utakua mtu wa kuzichomoa tu kila uchwao
 
Anakuhitaji sababu unacheua mipunga! Ukimpeleka accapela miezi kadhaa lazma apige chini tu! Mwanamke anaeongozwa na njaa sio wa kumuamini.
Hahahah.halaf mkuu..mim ni bahiri balaa.wala sio mtu wa kucheua ..sema bas tu yan...
 
Nadhani umemdekeza sana...anaanzaje kukusachi na wewe unakubali...usipojua kuacha leo hutakuja kuacha kamwe
Hapana mkuu..mi niko strict kwel..sjui kapitiwa na nin leo..labda anadaiwa vibaya mno na kashindwa ji control
 
Back
Top Bottom