Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Boss huyo demu wako hana maana cha kufanya mpige chini. Maana anakufanya unatapa mithili ya mfa maji wala haoni huruma yoyote kwako.
 
Ha ha ha ha ha ha yaan huwa muna maamuzi ya kishujaaa. Yaan hutaamini na venye hakuna cha kuwafanya... ila its very bad kumtumia mtu. Its a sin. Na haisameheki hakika. Na hasa akiwa jambazi. Mwanamke bora awe mbea ila siyo jambazi
Hahahahaha jambaz ni beyond repair,,,atupwe selo tu ikibidi
 
Wa Africa tuna tabia ya kusachi vitu vya wagen, marafik, wapenz, ata wewe naima umewai kusachi
Sijawahi msachi mpenzi wangu maisha 😅😅😅😅nikitaitika kimbinu namwambia tu naomba nipe kias kadhaa ila sio kumsachi!
 
Ha ha ha ha ha ha yaan huwa muna maamuzi ya kishujaaa. Yaan hutaamini na venye hakuna cha kuwafanya... ila its very bad kumtumia mtu. Its a sin. Na haisameheki hakika. Na hasa akiwa jambazi. Mwanamke bora awe mbea ila siyo jambazi
Huyo maraya mie napiga chini moja kwa moja 😅
 
Huyo mwanamke uwe nae makini sana, maana kama anadiliki kukuibia hadi pesa ya akiba, ipo siku umeshatoboa ki maisha anakwambia umnunulie gari, kumbe we pesa ushaipangilia kufanya mambo mengne, ndo anakuletea majambazi wakupole ili apate mgao kutoka kwa majambazi hao! Maana inavyoonekana huyo mwanamke anaangalia zaidi mambo yake yaende, hajui kuwa pesa huwa inamipango mingi ambayo inaweza kuwa ya muhim kuliko matumizi yake!
 
Kama amekusaula siyo mtu mzuri ni mwizi...

Siku atabeba furniture za ndani...
 
Imagine dada mzuri rangi kama anaoga maziwa kumbe anapekua mifuko ya boyfriend [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Piga chini huyo sio mke wa kuoa
 
Mkuu kuwa mwanaume acha kuwa mvulana . Yaani mimi wife akiwa tu na shida ata ya 5000 nikimwambia toa kwenye wallet hawez fungua wallet ataniletea nitoe mwenyewe nimpe sio afungue wallet yangu. Mwanamke unavyoishi nae ndivyo atakavyo kupelekesha. Wana testigi vitu waone reaction .

Kwa mfano apo kachukua laki 2 kwenye suruali bila ridhaa yako ebu niambie utachukua hatua gani kama mwanamme?
 
Hahahahhaa...sjui kajiamin nin..hajawai hata fanya hiv...hata sku1...na nimemlilia sana kwamba hali ni mbaya. Atulie ntampa tu hyo hela..ujue wanawake hawana huruma kaka
Umemlilia Sana kumbe
Halafu pamoja na kumlilia hajakuelewa dah [emoji23][emoji23][emoji23].
 
She ain't a wife nigga that is a gold digger. A wife understand when a nigger is broke bro that one ' ll never understand in a thousand of years bro. Let the bitch go immediately!
 
Nalichukua hili kaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…