Hili kundi dogo sana linalopinga Reforms katika Nchi yetu lina nia gani kwa Tanzania. Ni akina nani?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
42,525
Reaction score
74,605
Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya.

Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani?

Ukitazama hapa JFs kwa mfano kuna ID zisizo 10 ndio zimeshupaza shingo kuhakikisha Reforms za maendeleo hazifanyiki.

Tunawauliza watu hawa wana nia gani na Nchi yetu? Nguvu yao inatokana na nini?

Lakini je hawa watu tangu Miaka ya 90 wamekuwa wakipinga.

Walimpinga Jaji Francia Nyalali
Walimpinga Jaji Mark Boman
Walimpinga Jaji Josef Sinde Walioba

Walipinga Kikosi Kazi cha Prof yule wa UDSM.

Wamepinga matakwa ya Wananchi kwenye maandamano, wamepinga maoni ya Shura ya Maaimam, maoni ya TEC, maoni ya Umoja wa makanisa ya kikristo, wamepinga maoni ya Jukwaa la Katiba Tanzania.

Je hawa watu ni Watanzania kweli? Ninapata wasi wasi mkubwa.
 
Ninabidi tukifahamu kakikundi hako kwa uhakika na kujua siri ya kuwadhulumu Watsnzania wote na Taifa ni ipi? Na je wanausiano na nani asiye Mtanzania?Japo kwa kuanzia majibu yakipatikana tuone njia iliyobora ya kukakomesha kakikindi hako ka wachache
 
Sielewi wajuvu waje watusaidie. Jfs ina watalaam mbali mbali
 
Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya.

Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani?

Ukitazama hapa JFs kwa mfano kuna ID zisizo 10 ndio zimeshupaza shingo kuhakikisha Reforms za maendeleo hazifanyiki.

Tunawauliza watu hawa wana nia gani na Nchi yetu? Nguvu yao inatokana na nini?

Lakini je hawa watu tangu Miaka ya 90 wamekuwa wakipinga.

Walimpinga Jaji Francia Nyalali
Walimpinga Jaji Mark Boman
Walimpinga Jaji Josef Sinde Walioba

Walipinga Kikosi Kazi cha Prof yule wa UDSM.

Wamepinga matakwa ya Wananchi kwenye maandamano, wamepinga maoni ya Shura ya Maaimam, maoni ya TEC, maoni ya Umoja wa makanisa ya kikristo, wamepinga maoni ya Jukwaa la Katiba Tanzania.

Je hawa watu ni Watanzania kweli? Ninapata wasi wasi mkubwa.
Gentleman,
Kwamba kundi la waropokaji, vibaka na matapeli wa kisiasa ndio kubwa sana linaloweza kukwamisha watanzania wasisonge mbele na kazi zao za kijamii, kisiasa na kiuchmi kwa amani na utulivu, right?

kwahiyo unataka kuhitimisha kwamba JF imejaza watakatifu waropokaji na wasusia chaguzi?🐒
 
Mtaanzisha thread hasi mukufwe

Mko wachache sana

Juzi tu mlikua mnavuana nguo kamq chama… whoever advised you to televise zole insults - hawapendi

Watu wamewachoka na hasa baada ya kumpokea Faza slaa

Ccm is not perfect kwbisa but chakandumuz mmebugi meeen
 
Kasome kanuni za uchaguzi wa mbunge,Diwani na Raisi ndio utaelewa
 
Gentleman,
Kwamba kundi la waropokaji, vibaka na matapeli wa kisiasa ndio kubwa sana linaloweza kukwamisha watanzania wasisonge mbele na kazi zao za kijamii, kisiasa na kiuchmi kwa amani na utulivu, right?

kwahiyo unataka kuhitimisha kwamba JF imejaza watakatifu waropokaji na wasusia chaguzi?🐒
Kwenye mjadala imeombwa chawa wakae kushoto tena kwa heshima na taadhima.
 
Mtaanzisha thread hasi mukufwe

Mko wachache sana

Juzi tu mlikua mnavuana nguo kamq chama… whoever advised you to televise zole insults - hawapendi

Watu wamewachoka na hasa baada ya kumpokea Faza slaa

Ccm is not perfect kwbisa but chakandumuz mmebugi meeen
Ndio maana hawafai na hawawafai Watanzania au vipi?
 
Kwenye mjadala imeombwa chawa wakae kushoto tena kwa heshima na taadhima.
gentleman,
si uweke taratibu hizo za mijadala binafsi chumbani kwako,

lakini usisumbue wadau huru wa JF kwa ubinafsi wako kwenye jukwaa huru la kila mTanzania na asie mTanzania 🐒
 
Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya.

Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani?

Ukitazama hapa JFs kwa mfano kuna ID zisizo 10 ndio zimeshupaza shingo kuhakikisha Reforms za maendeleo hazifanyiki.

Tunawauliza watu hawa wana nia gani na Nchi yetu? Nguvu yao inatokana na nini?

Lakini je hawa watu tangu Miaka ya 90 wamekuwa wakipinga.

Walimpinga Jaji Francia Nyalali
Walimpinga Jaji Mark Boman
Walimpinga Jaji Josef Sinde Walioba

Walipinga Kikosi Kazi cha Prof yule wa UDSM.

Wamepinga matakwa ya Wananchi kwenye maandamano, wamepinga maoni ya Shura ya Maaimam, maoni ya TEC, maoni ya Umoja wa makanisa ya kikristo, wamepinga maoni ya Jukwaa la Katiba Tanzania.

Je hawa watu ni Watanzania kweli? Ninapata wasi wasi mkubwa.
Wanufaika wa mfumo hao. Wanajua ukifanyika uchaguzi huru na wa haki nafasi zao zitakuwa hatarini na watoto wao hawatosoma fedha tena
 
gentleman,
si uweke taratibu hizo za mijadala binafsi chumbani kwako,

lakini usisumbue wadau huru wa JF kwa ubinafsi wako kwenye jukwaa huru la kila mTanzania na asie mTanzania 🐒
Basi nitakuwa na kuja vyumbani kwa chawa wote wa ccm na ccm
 
Back
Top Bottom