Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
- Thread starter
- #21
Hawajali maslahi ya Nchi? Kwanini?Wanufaika wa mfumo hao. Wanajua ukifanyika uchaguzi huru na wa haki nafasi zao zitakuwa hatarini na watoto wao hawatosoma fedha tena
Hawajali maslahi ya Nchi? Kwanini?Wanufaika wa mfumo hao. Wanajua ukifanyika uchaguzi huru na wa haki nafasi zao zitakuwa hatarini na watoto wao hawatosoma fedha tena
Ubinafsi tuHawajali maslahi ya Nchi? Kwanini?
Jionee huruma wewe unayelalama kutwa wakati wenzenu wana vikao vya siriNamuonea huruma Lucas hata kama analipwa
sawa nyumbu,Basi nitakuwa na kuja vyumbani kwa chawa wote wa ccm na ccm
Maaskofu wa chama gani?Wengine ni bendera fata upepo tu kama akina Lucas mwashambwa. Si umeona amewajibu leo Maaskofu
Mtajuana huko huko hayatuhusuJionee huruma wewe unayelalama kutwa wakati wenzenu wana vikao vya siri
Leo halima thr COVID-19 amerudi kuwa masiha wenu, na dr slaa as well
Mnatumika Kama ndomu
Tuanze na Dogo kwanzaNa hilo kundi kubwa linalopinga Reforms ni kina nani?
Wakati tunapoendelea kwenye mageuzi yanayoleta matumaini kwa Tanzania kuna kundi dogo sana linapinga kila kitu kuhusu Mageuzi haya.
Hili kundi lina nia gani na Nchi yetu? Ni akina nani?
Ukitazama hapa JFs kwa mfano kuna ID zisizo 10 ndio zimeshupaza shingo kuhakikisha Reforms za maendeleo hazifanyiki.
Tunawauliza watu hawa wana nia gani na Nchi yetu? Nguvu yao inatokana na nini?
Lakini je hawa watu tangu Miaka ya 90 wamekuwa wakipinga.
Walimpinga Jaji Francia Nyalali
Walimpinga Jaji Mark Boman
Walimpinga Jaji Josef Sinde Walioba
Walipinga Kikosi Kazi cha Prof yule wa UDSM.
Wamepinga matakwa ya Wananchi kwenye maandamano, wamepinga maoni ya Shura ya Maaimam, maoni ya TEC, maoni ya Umoja wa makanisa ya kikristo, wamepinga maoni ya Jukwaa la Katiba Tanzania.
Je hawa watu ni Watanzania kweli? Ninapata wasi wasi mkubwa.
Saa itakuwajeHaka ni ka kundi ka watu wasiozidi elfu tano na familia za zao.
Haka kakundi ndio wameshika rasilimali za nchi kifisadi .
Kalianza miaka ya 1987 na kuendelea .
Kameshiriki kuua vyama vya ushirika ,Kameua viwanda ,Kanayafuna pesa za nchi kwa mikataba ya hovyo kama vile kuleta mbegu za mahindi kutoka Ulaya na mbolea wakati tuna chuo cha kilimo na kila kitu.
Kakikundi haka lanashiriki kuua uchumi wetu kwa maslahi yao na wateja wao toka Ulaya.
Mwaka huu haka kakikundi kanakoungwa mkono na Baadhi ya WANACCM toka Zanzibar na wageni wasiolitakia mema taifa letu
Ni kupaza sauti kila uchwao!Saa itakuwaje
Hata uite wale mbuzi simba wakupanda basi urafiki na chawa au na mchwa wa ccm kamwe hautakuwepo?sawa nyumbu,
na urelax bas usisumbue wadau 🐒
Yanawahusu sana tuMtajuana huko huko hayatuhusu
Hawana chama ni wataifa na ulimwenguMaaskofu wa chama gani?
What is mbumbumbu acha uchawa,ama nawe mchwa?Tunaopinga mabadiliko tumegawanyika katika makundi mawili.
1:Wenye maslahi na mfumo uliopo.
2:Sisi mbumbumbu
Hao ni wale tu ambao wanamaisha maovu ambayo wanajua reforms itayaweka wazi na kuvuruga urithi wao wa uovu wao huo Kwa descendants waoWagawa keki ya nchi, binadamu sio rahisi kuachilia power yake ichukuliwe au imong'onyolewe kirahisi.