Hili la Diamond ni la Kukemewa na kila mtu!

Hili la Diamond ni la Kukemewa na kila mtu!

Kichwa cha habari na habari yenyewe ni tofauti.
 
Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.

Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.

Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Kwanini umfanye msanii ndiyo awe mtu wa mfano katika jamii?
 
Kwani anawashika kwa nguvu?,si wanakubaliana lakini?
Anajidhalilisha mwanamke anajifanya bidhaa! jipangie bei utanunuliwa nausilalamike kwani umejishusha thamani mwenyewe!! Diamond hongera sana mpaka wajitambue kuwa utu wao una thamani kuliko hela.Endelea simba kuwapa somo tupo nyuma yako!!!
 
Chuki binafsi hizo....!!

Kwa umri...Umaarufu...na pesa aliyonayo...!

Bado ana idadi ndogo sana ya Wanawake..!
 
H
Chuki binafsi hizo....!!

Kwa umri...Umaarufu...na pesa aliyonayo...!

Bado ana idadi ndogo sana ya Wanawake..!
IYO IDADI NI NDOGO SANA! MPAKA DARASA LA SABA WENGI WETU TULISHAFIKISHA TAYARI 30.SASA UKIONGEZA WA SEKONDARI NA VYUONI NA WOTE WANGEKUWA WANAKUWA NA WATOTO SI WATOTO WENGI TU!! DIAMOND ONGEZA SPIDI UPO SLOW SANA.HAO NI WACHACHE SANA NA HASA HAWA WANAOKULETEA KAMA BIASHARA WAKIWA WAMETEGESHEA KITU KIBAKI HUKO USIWACHE WATENDEE HAKI WOTE.WATOTO HAWANA MAKOSA TANZANIA TUNA ARDHI KUBWA.TUTASAIDIANA KUJENGA VIWANDA!!
 
Enzi zetu Msichana Akisikia Mwanaume ana Mume ,Huwa anamuheshimu sana ila wakati wenu huu mwanamke akisikia fulani ana mke basii atajipitishaa apoo mpaka atapata haki yake mm nadhani ndicho kinachomkuta huyu diamond
 
U
Enzi zetu Msichana Akisikia Mwanaume ana Mume ,Huwa anamuheshimu sana ila wakati wenu huu mwanamke akisikia fulani ana mke basii atajipitishaa apoo mpaka atapata haki yake mm nadhani ndicho kinachomkuta huyu diamond
UMENENA DADA YANGU!! WEWE KUNGWI ILA NAJUA WATAKUSHAMBULIA WAPENDA WAUME ZA WATU HAO!! TUSUBIRI MAPOVU WANAKUJA......
 
Ni vema ukafanya vurugu zoooote ukamaliza then ukiamua kutulia ndo unatulia mazima. That's why nowdays kuna madingi wanapenda kujiweka weka ktk hari ya ujana ili wafanye starehe wkt age ishawatupa mkono, coz ujana wao hawakuutumia ipasavyo, hawakuutendea haki. So domo we tembeza fimbo tuu hii ndo time yako haitajirudia tena wachape tuuuu.....
 
Tamaa zao hao madada ndio zinawafanya wachezewe..tena mi namuomba aendelee kuwafanya hivyo hivyo ikibidi awale tigo kabsa..pumbavu zao
 
Anachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
kama wanajipeleka wenyewe awafanye nn. Kujidhalilisha wanajidhalilisha wenyew kuliko huyo mnayemsingizia. Tupe mfano wa mwanamke ambaye Diamond amemdhalilisha nikupe mifano ya alivyojidhalilisha huyo mwanamke zaidi
 
Mkuu ninayaona mtaani huku hata mm yamenikuta
UNAJUA KUNA WANAWAKE WENGINE HAWAJAUMBWA KUOLEWA AU KUWA WAKE KWAHIYO WANALAZIMISHA TU NA SIRAHA ZAO NI KUPATA WATOTO WA KUJIHAMI! SASA HAWA WANAKUWA WANA KELELE MPAKA KELELE NYINGINE ZINAWAPUNGUZIA WANAUME NGUVU ZAO.....KERO NYINGI!
 
Back
Top Bottom