Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Interesting..hizi zama zitapita tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nawe kawachezee dada zakeAnachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
Kwanini umfanye msanii ndiyo awe mtu wa mfano katika jamii?Kwanza naomba mada hii iachwe hapa jukwaa la siasa.
Huyu msanii wa kizazi kipya na kipenzi cha wafanya siasa pia ni ana ghafirika sasa!Tabia ya ufusika na kuchezea mabinti za watu na kuwadhihaki si jambo jema na si mfano mwema kwa msanii mkubwa km yeye.
Km taswira kwa wengine hapaswi kuwa mtu wa tabia hizo azifanyazo sasa.
Kwani anawashika kwa nguvu?,si wanakubaliana lakini?Anachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
Anajidhalilisha mwanamke anajifanya bidhaa! jipangie bei utanunuliwa nausilalamike kwani umejishusha thamani mwenyewe!! Diamond hongera sana mpaka wajitambue kuwa utu wao una thamani kuliko hela.Endelea simba kuwapa somo tupo nyuma yako!!!Kwani anawashika kwa nguvu?,si wanakubaliana lakini?
IYO IDADI NI NDOGO SANA! MPAKA DARASA LA SABA WENGI WETU TULISHAFIKISHA TAYARI 30.SASA UKIONGEZA WA SEKONDARI NA VYUONI NA WOTE WANGEKUWA WANAKUWA NA WATOTO SI WATOTO WENGI TU!! DIAMOND ONGEZA SPIDI UPO SLOW SANA.HAO NI WACHACHE SANA NA HASA HAWA WANAOKULETEA KAMA BIASHARA WAKIWA WAMETEGESHEA KITU KIBAKI HUKO USIWACHE WATENDEE HAKI WOTE.WATOTO HAWANA MAKOSA TANZANIA TUNA ARDHI KUBWA.TUTASAIDIANA KUJENGA VIWANDA!!Chuki binafsi hizo....!!
Kwa umri...Umaarufu...na pesa aliyonayo...!
Bado ana idadi ndogo sana ya Wanawake..!
UMENENA DADA YANGU!! WEWE KUNGWI ILA NAJUA WATAKUSHAMBULIA WAPENDA WAUME ZA WATU HAO!! TUSUBIRI MAPOVU WANAKUJA......Enzi zetu Msichana Akisikia Mwanaume ana Mume ,Huwa anamuheshimu sana ila wakati wenu huu mwanamke akisikia fulani ana mke basii atajipitishaa apoo mpaka atapata haki yake mm nadhani ndicho kinachomkuta huyu diamond
Khaaa baboo mi men bhaanaU
UMENENA DADA YANGU!! WEWE KUNGWI ILA NAJUA WATAKUSHAMBULIA WAPENDA WAUME ZA WATU HAO!! TUSUBIRI MAPOVU WANAKUJA......
UMECHAFUKWA MPAKA UMETOA FUNDISHO TOSHA.MIMI BASI NIKAJUA NI KUNGWI!! NAONA BADO WATAKUWA WAPO SALOON AU KWENYE MAOMBI NGOJA WATUIBUKIE NA MAPOVU BAADAYE....... ILA MIMI SIMO ULIANZISHA MWENYEWEKhaaa baboo mi men bhaana
Mkuu ninayaona mtaani huku hata mm yamenikutaUMECHAFUKWA MPAKA UMETOA FUNDISHO TOSHA.MIMI BASI NIKAJUA NI KUNGWI!! NAONA BADO WATAKUWA WAPO SALOON AU KWENYE MAOMBI NGOJA WATUIBUKIE NA MAPOVU BAADAYE....... ILA MIMI SIMO ULIANZISHA MWENYEWE
mwanaume ana mume!??Enzi zetu Msichana Akisikia Mwanaume ana Mume
kama wanajipeleka wenyewe awafanye nn. Kujidhalilisha wanajidhalilisha wenyew kuliko huyo mnayemsingizia. Tupe mfano wa mwanamke ambaye Diamond amemdhalilisha nikupe mifano ya alivyojidhalilisha huyo mwanamke zaidiAnachezea dada zetu na kuwadhalilisha kwa vinoti vyake!
UNAJUA KUNA WANAWAKE WENGINE HAWAJAUMBWA KUOLEWA AU KUWA WAKE KWAHIYO WANALAZIMISHA TU NA SIRAHA ZAO NI KUPATA WATOTO WA KUJIHAMI! SASA HAWA WANAKUWA WANA KELELE MPAKA KELELE NYINGINE ZINAWAPUNGUZIA WANAUME NGUVU ZAO.....KERO NYINGI!Mkuu ninayaona mtaani huku hata mm yamenikuta