Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

Matapeli woote Duniani hupenda kuzitumia mahakama na ndio siri ya utajiri mkubwa wa mawakili na wanasheria wengi kwa njia za short cuts.
Huu ni mojawapo ya mifano halisi.
Hata body language ya yule wakili wa Mahululu kule YouTube inaonyesha rasmi.
 
Yuko sahihi mambo ya ardhi yako chini ya maafisa ardhi na hati hutoa wao kwa nini kukitokea mgogoro wasukumie watu waende mahakamani si wamalize wenyewe
Huko ni kukwepa wajibu .Slaa yuko sahihi.Tena kama hawawezi kutatua wafukuzwe kazi kabisa
Vipi kama haki haijatendeka maana tunajua maofisa wengi ni rushwa na njaa tupu, hakuna haja ya kuwapa hao maofisa absolute power, mahakama lazima ihusike ili kuwacheck hao maofisa wa ardhi na mamlaka yao
 
Matapeli woote Duniani hupenda kuzitumia mahakama na ndio siri ya utajiri mkubwa wa mawakili na wanasheria wengi kwa njia za short cuts.
Huu ni mojawapo ya mifano halisi.
Hata body language ya yule wakili wa Mahululu kule YouTube inaonyesha rasmi.
Sasa unafikiria haki utaipata kutoka Kwa hao maofisa wa ardhi 100%ambao wengi wao ndio chanzo Cha matatizo yote,mahakama not perfect lakini zinasaidia check and balance, Labda uje na mfumo mwingine lakini Kwa sasa mahakama tunazihitaji sana
 
LEte mazungumzo yote sio nusu
 
Vipi kama haki haijatendeka maana tunajua maofisa wengi ni rushwa na njaa tupu, hakuna haja ya kuwapa hao maofisa absolute power, mahakama lazima ihusike ili kuwacheck hao maofisa wa ardhi na mamlaka yao
Kama afisa Aridhi hajakutendea haki si unakwenda ku report kwa boss wake, ili apewe maelekezo na boss wake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…