Hili la Jerry Silaa kuzuia maafisa ardhi kuwashauri watu waende Mahakamani, anataka watu wauane mitaani badala ya kufuata sheria?

View attachment 2940910
Huyu ni Waziri, kazuia watu kushauriwa waende Mahakamani, na ndiye anapaswa kusimamia utawala wa sheria, anataka watu wachapane makonde mitaani? Amewapa maafisa ardhi gepu la kufanya bomoa bomoa nchi nzima kama yeye anavyofanya?

Ajabu kabisa huyu ni mwanasheria!

Kuna mtu ambaye hajui hawa ndio chanzo cha kelele nchi nzima kwa dhuluma katika ardhi halafu anataka awakabidhi wananchi kwao?
Matatizo mengi ya Ardhi Yana chochewa na maafisa Ardhi , kama kutoa offer mbili Kwa Kiwanja kimoja , utatuzi wake ni kufuta offer ya pili na kumwacha anyone aliyepewa Kwanza aendele. Ndio maana yake. Maafisa Ardhi wanao shauri kwenda mahakamani ni wale waliokupa hela ya Tajiri na kumtengenezea document, wakijua wakienda Mahakamani mwenye pesa atashinda , na ndio mwenye uwezo wa kwenda kujenga ukuta, jengo kuweka mabausa NK nk
 
Ardhi wana database ya viwanja vyote Tanzania na majina ya wamiliki wake. Siku mtu akiuza kiwanja wanabadilisha jina la mmiliki na kuweka mpya, lakini majina ya wamiliki wa awali yanabaki.

Sasa wewe ukienda kupora kiwanja cha mtu elewa ardhi jina la mmiliki wa awali lipo, mwenyewe akisema sijawahi kuuza hiki kiwanja wala simjui huyu mtu mwenye umiliki mpya tayari una matatizo inabidi uelezee hiko kiwanja umekipata vipi.

Njia sahihi ni kupitia mahakama ila wanamizenguo sana, ni kipindi cha Magufuli tu mahakama ilikuwa fair na kumaliza kesi haraka.

Ukiona waziri anabomoa nyumba hiyo kesi ushindi mahakamani ameshajiridhisha na info walizonazo kwenye database ya ardhi juu ya historia ya umiliki wa hilo eneo.
 
umesema sahihi.though waziri naye ni mwanadamu, anaweza kuwa na interest au mapungufu, ndio maana tunasema private persons hawatakiwi kutoa maamuzi, ila mihimili ya kutoa haki hiyo ndio tumekubaliana kikatiba kuwa iwe inatuamua tunapogombana. na ndio sababu tunasema utawala wa sheria ni muhimu hata kama una uhakika kwenye database.
 
I agree 100% shida hizi mahakama zetu nazo kwa raisi kama huyu wa sasa zinakuwa na mizenguo kweli.

Naongea through experience ya watu kama watatu wa karibu sana waliokutana na madhila kama hayo kipindi cha JK kazi yao ilikuwa kushinda mahakamani kwa miaka kama nane mpaka alipoingia Magufuli.

So Jerry nadhani anataka kumaliza yale ambayo straight forward haraka tu bila ya kupoteza muda.
 
I agree 100% shida hizi mahakama zetu nazo kwa raisi kama huyu wa sasa zinakuwa na mizenguo.

Naongea through experience ya watu wa karibu sana waliokutana na madhila kama hayo kipindi cha JK kazi yao ilikuwa kushinda mahakama mpaka alipoingia Magufuli.
hata leo hii nimetoka kufuatilia hati ya kiwanja. pia nimefanya sana mahakamani huko. nakuhakikishia, kati ya mahakama na maafisa ardhi, wanaokula rushwa na kuonea zaidi watu ni maafisa ardhi. hawa hawana tofauti na TRA. kwa wenye kunielewa wamenielewa. ni kweli mahakamani, na polisi kuna rushwa, ila ofisi za ardhi, wanajijua wenyewe walivyo. na hii ni kiti kibaya sana. kwaiyo wote ni walewale tu, bora tu tubakie kwenye mihimili ya kutoa haki ambaye pia kiwanja chako anaweza akapewa pesa kikapewa watu wawili hadi watatu.
 
Kwa kifupi ni kwamba serikalini mambo yamerudi kama ilivyokuwa 2015 kurudi nyuma.
 
#RuleOfLaw
Anajua huko mahakamani ni sehemu ya kupotezeana muda lakini hakuna haki yoyote utapata huko. Rejea Joyce wowowo kwenye ziara zake pia alisema usitegemee kupata haki mahakamani. Yaani ccm wameshaifubaza mahakama, baada ya kuona imechoka Sasa wanainanga hadharani!
 
Kwa kifupi ni kwamba serikalini mambo yamerudi kama ilivyokuwa 2015 kurudi nyuma.
Kwani kipindi Cha dhalimu magu ndio mahakama zilitenda haki? Au unadhani tumesahau alichokuwa a anahubiri kuwa mahakama itoe hukumu haraka haraka dhidi ya wafanyabiashara, ili awape pesa zitakazotokana na hizo hukumu za kubumba?
 
Hivi upo Serious kabisa kwenye suala la haki unasema mtu aende mahakamani?
 
Kwani kipindi Cha dhalimu magu ndio mahakama zilitenda haki? Au unadhani tumesahau alichokuwa a anahubiri kuwa mahakama itoe hukumu haraka haraka dhidi ya wafanyabiashara, ili awape pesa zitakazotokana na hizo hukumu za kubumba?
Hapa tunaongelea migogoro ya ardhi ya watu wa kawaida kabisa ambao hawana interest na siasa mambo yalivyokuwa on the ground katika awamu tofauti.

Hata huyu ‘bi tozo’ akibweka tu na kumpa support Jerry hadharani akasikika na watendaji mwezi tu mahakama, halmashauri na huko akili zao zinakaa sawa.

Tanzania sio nchi ya kubembelezana kiongozi ukiwa hivyo haya ndio madhara yake.
 
hakuna kipindi watanzania wengi walionewa na kuumia moyo kama kipindi cha yule baba.
 
Umesema yamerudi kama yalivyokuwa 2015, ndio nikakupa mfano wa utawala wa dhalimu magu kuwa pia hakukuwa na haki hivyo, Bali propaganda zilishika Kasi. Sasa unadhani tumesahau.
 
Bahati mbaya picha na video nilizotumiwa za viwanja na watu wawili tofauti walioshinda kesi za ardhi mahakamani Magufuli alipoingia tu nimezifuta moja ilikuwa Mwananyamala na nyingine Tegeta.

Ni hivi Tanzania ukitaka kupendwa na watumishi elewa ni kwa gharama ya wananchi, ndio maana Jerry kajivalisha bomu, Sasa pingapinga na maadui washaibuka haraka kutaka kumkatisha tamaa.
 
Umesema yamerudi kama yalivyokuwa 2015, ndio nikakupa mfano wa utawala wa dhalimu magu kuwa pia hakukuwa na haki hivyo, Bali propaganda zilishika Kasi. Sasa unadhani tumesahau.
Kumuelewa Magufuli inataka uwe mtanzania wa kawaida, halafu kuna mambo yalikukuta. Kuna tofauti kubwa sana alipokuwepo na kabla yake.

Vinginevyo version ya Magufuli ni ile ya watu wa JF huyu ni shetani ambae hafai kwenye nchi hii. Lakini si ya wananchi ambao hawana interest na mambo ya siasa.
 
Mtanzania wa kawaida anakuwaje, au ni yule aliyeamini Kila alichofanya Magufuli alikuwa sawa?
 
Mtanzania wa kawaida anakuwaje, au ni yule aliyeamini Kila alichofanya Magufuli alikuwa sawa
Tuache mjadala ubaki ardhi na harakati za Jerry Slaa.

Huyo dhalimu kwa mujibu wako aipiti siku ana anzishiwa mada tutamuongelea tukikutana huko (I bear responsibility kwa kumuingiza kwenye huu mjadala, sikufikiria wale wanaopinga kila kitu chake).
 
Hiyo 2015 uliingizaje wakati mjadala ulikuwa wa sasa?
 
Back
Top Bottom