Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mara mwisho ni pale alipoonekana akiwa amepiga picha na Rais Samia Suluhu Ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.