Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Not like this
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not like this
Alipokwenda India kwa matibabu mwaka juzi alituaga?Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
Yupo kongwa anawapanga wagogo 25 wampe ulajiMara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
anamtafuta akiyeandika barua ya ku resign
Chuki zenu kwake zinajulikana.Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
Hatari yake Nini?Tangu mwaka jana na kuendelea February na March ni miezi hatari sana.
Kwamba ile Barua hakuiandika yeye?anamtafuta akiyeandika barua ya ku resign
Wote wale wale mnajidai kuzozana nini hapa🤔.Au kwa kuwa awamu mupya je kuzozana huko ni halisi?Acha kupost chuki na uzandiki usiofaa kwenye jamii.
Anakula pesheni huyo ebu ibua changamoto zingine zinazowakabili watz achan nae huyo ambaye hakujua lisu yupo wp mpk akamvua ubungeMara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Wanasemaga " a problem is not a problem but how you respond to the problem that is a problem !! Akili huwa inakataa matokeo, lakini ukiilazimisha ikubali matokeo mambo yanakuwa okay !! Maneno huwa na nguvu siku tatu tu ! Baada ya hapo ni business as usual !! Hakuna jambo geni duniani !!..Job amepoteza kitu kikubwa Sana.
..Amejidhalilisha Sana.
..Anaficha uso wake kwa kutahayari aliyowafanyia wengine.
.. Leo nayeye akaombe muongozo ilihali yeye ndiye alikuwa mtoa muongozo?
... Leo akaelekezwe Cha kufanya wakati ndiye alikuwa muagizaji?
... Leo akakae kwenye kundi la commons wakati alishazoea kuketi meza ya Watawala.
Hapana aisee, Jamaa Yuko depressed. Mpeni nafasi atulie kwanza.
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.
Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.
Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Ndugai hakuwahi kuandika barua ya kujiuzuruKwamba ile Barua hakuiandika yeye?
Waache kumzonga mstaafu wetu.Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.