Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
Alipokwenda India kwa matibabu mwaka juzi alituaga?
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Yupo kongwa anawapanga wagogo 25 wampe ulaji
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
Chuki zenu kwake zinajulikana.
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Anakula pesheni huyo ebu ibua changamoto zingine zinazowakabili watz achan nae huyo ambaye hakujua lisu yupo wp mpk akamvua ubunge
 
..Job amepoteza kitu kikubwa Sana.
..Amejidhalilisha Sana.
..Anaficha uso wake kwa kutahayari aliyowafanyia wengine.
.. Leo nayeye akaombe muongozo ilihali yeye ndiye alikuwa mtoa muongozo?
... Leo akaelekezwe Cha kufanya wakati ndiye alikuwa muagizaji?
... Leo akakae kwenye kundi la commons wakati alishazoea kuketi meza ya Watawala.

Hapana aisee, Jamaa Yuko depressed. Mpeni nafasi atulie kwanza.
Wanasemaga " a problem is not a problem but how you respond to the problem that is a problem !! Akili huwa inakataa matokeo, lakini ukiilazimisha ikubali matokeo mambo yanakuwa okay !! Maneno huwa na nguvu siku tatu tu ! Baada ya hapo ni business as usual !! Hakuna jambo geni duniani !!
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339

ED090F8B-01FE-43DD-AB23-A1A50BD5CD31.jpeg
 
Anakula bata! Marupurupu yake unadhani hata anajali kurudi bungeni kama mbunge? Anangoja aripotiwe kuwa hahudhurii bungeni asimamishwe ubunge na ajilumbukizee marupurupu yake zaidi.
 
Nashauri wanaomtafuta waende kwanza nyumbani kwake wakamcheki. Kama wakimkosa na anaoishi nao wakawa pia hawajui alipo ndio waje kuanzisha mada kama hizi..ushauri tu.
Waache kumzonga mstaafu wetu.
 
Back
Top Bottom