Hili la Job Ndugai kutoonekana hadharani lazima liwekwe wazi yasije kutokea yaliyotokea mwaka jana

Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Kweli tufahamishwe alipo, Kama bungeni haionekani, Spika Tulia atangaze jimbo liko wazi, Kama yeye Ndugai alivyotangaza Jimbo la Mhe. Lissu huku akichekelea, na lake litangazwe kwa utoro bungeni.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Yupo na mambo yake...

Mambo yenu kawaachia wenyewe...
 
..Job amepoteza kitu kikubwa Sana.
..Amejidhalilisha Sana.
..Anaficha uso wake kwa kutahayari aliyowafanyia wengine.
.. Leo nayeye akaombe muongozo ilihali yeye ndiye alikuwa mtoa muongozo?
... Leo akaelekezwe Cha kufanya wakati ndiye alikuwa muagizaji?
... Leo akakae kwenye kundi la commons wakati alishazoea kuketi meza ya Watawala.

Hapana aisee, Jamaa Yuko depressed. Mpeni nafasi atulie kwanza.
Kinadharia ni sawa, ila kihalisia wabunge wa Tanzani sio kundi la commons, ni lords kabisa.
 
Kwa mifumo yetu huyu jamaa anaweza asionekane Bungeni kwa muda wote uliosalia hadi Julai 2025 na bado akalipwa kila kitu kama Mbunge yeyote aliyekuwako bungeni; na lisivyo na haya litapokea. Ni kama alivyofanyiwa muzee Mkono. Ninyi wapuuzi endeleeni tu. Uzuri jinai haina mwisho iko siku mtatapika hizo pesa za dhuluma!
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339

Kwa siasa chafu alizoendesha chini ya dhalimu, anastahili kukutwa na mabaya ili ajue dunia ni duara.
 
IKAWA ASUBUHI...IKAWA USIKU...IKAWA ASUBUHI...SIKU IKAFIKA ! KWELI AYUBU KAFIKIA HATUA YA KUJIFICHA ??? JINA LA BWANA LIHIMIDIEE
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Yuko zake Paris ameenda kula Bata.

Acha kufatilia maisha ya watu
 
Dawa ni kutulia kimya kama alivyofanya Lowasssa. Asiseme chochote hata kama kinamuumiza kiasi gani
..Job amepoteza kitu kikubwa Sana.
..Amejidhalilisha Sana.
..Anaficha uso wake kwa kutahayari aliyowafanyia wengine.
.. Leo nayeye akaombe muongozo ilihali yeye ndiye alikuwa mtoa muongozo?
... Leo akaelekezwe Cha kufanya wakati ndiye alikuwa muagizaji?
... Leo akakae kwenye kundi la commons wakati alishazoea kuketi meza ya Watawala.

Hapana aisee, Jamaa Yuko depressed. Mpeni nafasi atulie kwanza.
 
..Job amepoteza kitu kikubwa Sana.
..Amejidhalilisha Sana.
..Anaficha uso wake kwa kutahayari aliyowafanyia wengine.
.. Leo nayeye akaombe muongozo ilihali yeye ndiye alikuwa mtoa muongozo?
... Leo akaelekezwe Cha kufanya wakati ndiye alikuwa muagizaji?
... Leo akakae kwenye kundi la commons wakati alishazoea kuketi meza ya Watawala.

Hapana aisee, Jamaa Yuko depressed. Mpeni nafasi atulie kwanza.
Wacha Mungu aitwe Mungu
 
Mara mwisho ni pale alipoonekana IKulu akiwa amepiga picha na rais Samia Suluhu ikulu ya Chamwino Dodoma.

Hajaonekana hadharani tena na hatujulishwi rasmi yupo wapi na nini kinamsibu. Hatujui ni mzima wa afya au anaumwa.

Watanzania walishaumwa na nyoka sasa hata unyasi unawashutua. Yuko wapi Job Ndugai ? Haonekani hadharani iwe Bungeni au kwenye shughuli za kitaifa.
View attachment 2116339
Anashughulikia mafao yake shehe anakula kuku kwa mlija habari ya kuikosoa serikali ameona yanaweza kumtokea puani.! Ipo hivi kwa sasa ndugai akionekana na mbunge yeyote ambaye anavimelea vya group lile mama anaambiwa na chawa wake kuwa anatetwa , ndiyo maana sasa hivi ameamua kudhughulikia mafao yake watu wa kongwa hawana wa kuwasamea maana amezibwa mdomo
 
Back
Top Bottom