Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Unaamini anam-miss? Huyu anachokonoa tu kama wanavyochokonoa wengine. Siasa huzijui?Watanzania kwa UNAFIKI wanastahili kombe la Dunia. Sikutarajia watu wam miss Ndugai kwa namna alivyonajisi Bunge letu
Kwani mnamtafutia Jobo Nini, anayemdai afanye kama anajikuna tumwone.Tangu mwaka jana na kuendelea February na March ni miezi hatari sana.
Kwani mnamashaka katekwa na akina badluck &co au shida yenu mnaitamani pension yake🤔.MTU akiniomba ushauri namwambia usije kuoa mgogo au kuolewa na mgogo waache waoane wenyewe
Hakuna watu wenye hasira kama hilo kabila akichukia hadi anatetemeka na kutoka mijasho utafikiri ana malaria kali anashindwa hadi kuongea
Ukabila ruksa hasa kwa wagogo waachwe waoane wenyewe makabila mengine kaeni nao mbali
Ngoja tumwombe Polepole akafukize Moshi pangoni ataibuka TU, kama kajificha. 🤔.Kwani makonda anaonekana
Acha kupost chuki na uzandiki usiofaa kwenye jamii.Watanzania kwa UNAFIKI wanastahili kombe la Dunia. Sikutarajia watu wam miss Ndugai kwa namna alivyonajisi Bunge letu