joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
πππMY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Silaha za kijinga sana mnatumia hapo. Nimeona gofu la world war 2 hapo lenye migurudumu miwili.MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Cha ajabu wenye silaha za kisasa hamna amani Sasa sijui hizo silaha zinawasaidia nini.Silaha za kijinga sana mnatumia hapo. Nimeona gofu la world war 2 hapo lenye migurudumu miwili.
Pamoja na wakuu wa mikoa/gavana wa mikoa/majimbo ya mipakani kuwa kuwa wanajeshi.MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Hakuna hata sisimizi anayejaribu kuingiza mguu katika ardhi yetu, ninyi huko Alshabab wamejenga Nyumba za kudumu huko Boni forest na kuweka vizuizi barabaraniSilaha za kijinga sana mnatumia hapo. Nimeona gofu la world war 2 hapo lenye migurudumu miwili.
Unaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.Hakuna hata sisimizi anayejaribu kuingiza mguu katika ardhi yetu, ninyi huko Alshabab wamejenga Nyumba za kudumu huko Boni forest na kuweka vizuizi barabarani
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwani hizo silaha haziui watu!Silaha za kijinga sana mnatumia hapo. Nimeona gofu la world war 2 hapo lenye migurudumu miwili.
Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.Kwani hizo silaha haziui watu!
Mmeshindwa kuwanyoosha al shabab wahuni mtaiweza Tanzania?Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Mbona hao Alshababs wasishambulie Uganda au hata Ethiopia waliopo karibu nao kwasababu walipeleka majeshi Somalia?.Unaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Wale waliokimbilia msumbiji kutokea tz wananguvu kuliko alshababu kwa sababu wamevamia nchi wasiyo na udugu nayo hata kidogo na kufanikiwa kufanya mapigano makubwa ..tofauti na alshababu wa somalia ambao wanatumia nguvu rahisi kwa sababu wapo wasomali wengi kenyaUnaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Wabongo tumewazidi wakenya maujanja mengi sana,njooni mjifunze alshabab watawasumbua mpk mtanyooka π€£MY TAKE; Huko kwa jirani, Alshabab wanaweka vizuizi barabarani, wanakagua abiria, wanatoa hotuba na kulipisha Kodi, KDF hawajulikani walipo.
Tony254
Don YF
Nicxie
@
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Unajua kwanini wanajeshi wetu wa jwtz ukikutana nao ni vigumu kuwaona wameshika silaha wala uwezi kuwakuta wamebeba bunduki mitaani ...sijui kama unajua ni kwa nini ?Nunieni silaha za kisasa. Wacheni kupoteza muda na vitu vya kipuuzi kama hivyo. Mkija vita na Kenya tutawanyorosha sawa sawa.
Cc joto la jiwe
Unaongea kwa ujasiri bandia kwa sababu Al Shabab hawajawahi kuvamia Tanzania. Sio kwa sababu wanawaogopa bali kwa sababu mliogopa kutuma jeshi lenu Somalia. Waoga nyie, kazi yenu kuingiza mkia kati kati ya miguu. Hata DRC najua mtakataa kutuma jeshi lenu la EAC huko.
Mmeshindwa kuwanyoosha al shabab wahuni mtaiweza Tanzania?
Umesahau alshabab walivyokushughulikieni westgate mall?
Aaah aah.Jeshi la kenya ukiwa na maarifa unalichakaza balaa. Mbinu rahisi tu, ukitaka kuwanasa wee warushie maboflo. Wanatupa silaha wanaanza kugombaniana maboflo. Ndiyo maana pale westgate walihangaishwa sana, maana hakuna aliyekuwa anafikiria kudhibiti alshabab, bali walifikiria namna gani waibe mali supermarket na kula mikate.
π π ππ€£
Aaah aah huyo nyang'au awaulize wale jamaa wa kibiti kitaya na mapango ya amboni kilichowapata.Kwa kauli hii, rasmi alshabab wataendelea kuipiga Kenya kwa kadiri watakavyo.
Sisi wanatujua ndiyo maana wametulia. Wewe unafikiri hawajawahi kututest, halafu wakachezeshwa kwata na jaramba.
Wanaibia biskuti na chocolate kwenye malls once magaidi wakivamia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Cha ajabu wenye silaha za kisasa hamna amani Sasa sijui hizo silaha zinawasaidia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app