mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Point yangu hujaielewa tu? Rudia kusoma uzi mwishoni utanielewa.Sio kila nyuzi mpaka mcomment. Nyingine zimawadharirisha kwa kuonesha tupu za akili zenu. Sasa hapa umecomment nini ndugu yangu?
Inasikitisha
Kwani wewe unadhani hao viongozi wana kwenda huko bila ya kujuwa sifa za hizo hospitali?Ila viongozi wa Tanzania kwenda India ndio hoja sio?
Angalau umedadavua kidogo! Yes, umeongea kitu. Ni lazima kuoa mke anayejitambua na siyo kuokoteza okoteza tu.Kuna kitu hukielewi ila sijajua Modality ya WHO wangefanyaje, ila hiyo hela angepata yule mama. Wenzetu wapo very serious . Unapewa pesa ya kulala Hôtel ya dola 500 na unapewa standard za hotel wanazotaka ulale , then jichanganye ukalale hotel za dola 50 ili u save the rest
Sio kama hapo bongo mtumishi analipwa laki na 20 kwa siku but anaenda kulala sehemu ya elf 10 .
My wife analipwa 25% of my salary , na zinamfikia. Niliambiwa mapema kuwa kama umeoa hizo ni benefit za mke sio zako. Wenzetu wanaamini utashi wako kazini utategemea pia na utulivu wa mke na familia
Sasa kama uliokota mtu kutoka kwenye uchokoraa ukaoa hizo ni shida zako , ila kama ulioa a decent woman……. Anaelewa wazi hela zote ni za nyumbani na kujenga familia
Mke anahaki zake ma huwezi kuziiingililia hata kama kazi unafanya wewe
Mfano TZ wake wa Rais , PM, Makamu wote wanalipwa 80% ya salary za watu wao
Kama ulikuwa hujui , hata Mume wa Samia yule Mzee Hafidh….. analipwa kodi zenu kila mwezi not less than 60M , na hii sio kwa huruma au matakwa ya Samia….. ni kwa mujibu wa kanuni na katiba za nchi
Maqnq salary ya Rais ni 139M
Last update ya 2021
Ilitakiwa wajiulize kwa nini wenyeji wanazikimbiaKwani wewe unadhani hao viongozi wana kwenda huko bila ya kujuwa sifa za hizo hospitali?
Wewe ndiye unaye juwa zaidi kuhusu "wenyeji kuzikimbia" zaidi ya hao viongozi wa Tanzania wanao kwenda huko?Ilitakiwa wajiulize kwa nini wenyeji wanazikimbia
India wanajua hiloWewe ndiye unaye juwa zaidi kuhusu "wenyeji kuzikimbia" zaidi ya hao viongozi wa Tanzania wanao kwenda huko?
Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ?
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, poleni tena sana!
Na wewe ni mmoja wao?India wanajua hilo
Ndio mmoja wao tunaojua hiloNa wewe ni mmoja wao?
Sita shangaa wiki chache zijazo ukiwa unaelekea huko huko mwenyewe. Unapo patwa na janga huna raha ya kujisemeza kama unavyo jizungusha tu hapa.Ndio mmoja wao tunaojua hilo
Mjinga ni wewe wenyeji wanapakimbia wewe unapakimbilia patheticSita shangaa wiki chache zijazo ukiwa unaelekea huko huko mwenyewe. Unapo patwa na janga huna raha ya kujisemeza kama unavyo jizungusha tu hapa.
Hapo Wizara ya Afya; pamoja na ubovu wao wa utendaji, usifikiri wana kubali tu kipuuzi puuzi ushauri wa kipuuzi toka kwa aina yako bila kujiridhisha na kujuwa wanacho fanya.
Sasa hapa unapoteza muda tu, kwa sababu nimekwisha kuonyesha jinsi ulivyo mjinga mnjinga tu katika unayo changia hapa. Huna lolote ulijualo.
Jiandae, upo njiani kuelekea huko.Mjinga ni wewe wenyeji wanapakimbia wewe unapakimbilia pathetic
Siwezi kwenda kwenye nchi takataka kama India niliyoyaona huko sina hamuJiandae, upo njiani kuelekea huko.
Daah, kama nchi tumepigwa pabaya sana. Hata mimi nilikua na uhakika Dr Faustine akiwa WHO, ningepata mchongo paleMke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.
Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !
Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.
Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.
Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.
Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.
wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !
Kama mnawakatishana uhai je?
Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.
Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.
Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!
Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.
PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Kumbe ulikwenda huko. Kama nani, kuli au mfagizi wa ofisi?Siwezi kwenda kwenye nchi takataka kama India niliyoyaona huko sina hamu
India ni takataka miji michafu, pollution, miundombinu mibovu, kunanukaKumbe ulikwenda huko. Kama nani, kuli au mfagizi wa ofisi?
Sasa wewe katika hali hiyo unge tegemea kuona wanako kwenda wakubwa? Wewe uiishia huko kwenye mitaa yenye vurugu, halafu unachukulia nchi nzima ipo hivyo kila mahali?
Bila shaka ulisafiri kwenye yale magari moshi yao, tena ukajipenyeza juu ya paa la behewa; halafu leo unakuja hapa kutueleza uliyo shuhudia wewe katika hali tofaui kabisa na wengine!
Toka mwanzo nilijuwa kuna jambo lililo kutokea, ndiyo maana ukawa na mtizamo huo; pamoja na kukosa upeo.
Katika hadhi uliyo kuwa nayo wakati unakwenda huko ni lazima uyaone mambo hayo. Nchi nyingi duniani, hata hizo zinazo julikana kuwa dunia ya kwanza, kuna maeneo ambayo hali inakuwa tofauti na maeneo mengine. Ulisha wahi fika Washington D.C.; au Los Angeles?India ni takataka miji michafu, pollution, miundombinu mibovu, kunanuka
Kwa aliyefika atanielewa tofauti na wewe mjinga unayeandika usichokijua
India wanaitegema China kwa APIs za hizo dawaKatika hadhi uliyo kuwa nayo wakati unakwenda huko ni lazima uyaone mambo hayo. Nchi nyingi duniani, hata hizo zinazo julikana kuwa dunia ya kwanza, kuna maeneo ambayo hali inakuwa tofauti na maeneo mengine. Ulisha wahi fika Washington D.C.; au Los Angeles?
Sasa wewe unalila lia hapa na India, wakati wewe na familia yako yote mnawategemea hao hao India kwa dawa mnazo tumia. Ile mizigo unayo shushiwa palesokoni kila asubuhi imeletwa hapo na malori ya wahindi. Halafu unaingia humu JF na kujiapiza juu ya uduni wa India!
Hii ndiyo JF yenyewe, unakutana na taarifa za ajabu ajabu, na wanao zileta hata hawajisumbui kuweka vyanzo vya taarifa hizo. La muhimu kwao, ni kuonekana wanajuwa hayo maswala vyema kuliko wengine.Naomba kujua chanzo Cha taarifa za huu mshahara wa 130M Kwa mwezi kiongozi.
Hata Megalodon nimeona aliileta hivyo hivyo, ila Sina uhakika na hizo namba. Hata UN SG halipwi huo mshahara Kwa mwezi.
Huko nako ulisha fika, au unaambiwa tu?India wanaitegema China kwa APIs za hizo dawa
Huwezi fananisha L.A na takataka zilizoko India mwehu wewe
Unaongea upumbavu mno