Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Kuna kitu hukielewi ila sijajua Modality ya WHO wangefanyaje, ila hiyo hela angepata yule mama. Wenzetu wapo very serious . Unapewa pesa ya kulala Hôtel ya dola 500 na unapewa standard za hotel wanazotaka ulale , then jichanganye ukalale hotel za dola 50 ili u save the rest
Sio kama hapo bongo mtumishi analipwa laki na 20 kwa siku but anaenda kulala sehemu ya elf 10 .

My wife analipwa 25% of my salary , na zinamfikia. Niliambiwa mapema kuwa kama umeoa hizo ni benefit za mke sio zako. Wenzetu wanaamini utashi wako kazini utategemea pia na utulivu wa mke na familia

Sasa kama uliokota mtu kutoka kwenye uchokoraa ukaoa hizo ni shida zako , ila kama ulioa a decent woman……. Anaelewa wazi hela zote ni za nyumbani na kujenga familia
Mke anahaki zake ma huwezi kuziiingililia hata kama kazi unafanya wewe

Mfano TZ wake wa Rais , PM, Makamu wote wanalipwa 80% ya salary za watu wao

Kama ulikuwa hujui , hata Mume wa Samia yule Mzee Hafidh….. analipwa kodi zenu kila mwezi not less than 60M , na hii sio kwa huruma au matakwa ya Samia….. ni kwa mujibu wa kanuni na katiba za nchi

Maqnq salary ya Rais ni 139M
Last update ya 2021
Angalau umedadavua kidogo! Yes, umeongea kitu. Ni lazima kuoa mke anayejitambua na siyo kuokoteza okoteza tu.

Kwa wanawake wengi(based on experience from people in JF and some of my relatives) wa kisasa, chao ni chao, na cha waume zao ni chao pia. Mostly women from poor background ndiyo huwa hivi(my experience)

So, hapo nakuunga mkono, hapo ulipogusia suala la mke kuwa decent, na kutookoteza okoteza wanawake na kuoa. Familia ni ya wote.
 
Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini ?

Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Swai nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, poleni tena sana!

Naomba kujua chanzo Cha taarifa za huu mshahara wa 130M Kwa mwezi kiongozi.

Hata Megalodon nimeona aliileta hivyo hivyo, ila Sina uhakika na hizo namba. Hata UN SG halipwi huo mshahara Kwa mwezi.
 
Ndio mmoja wao tunaojua hilo
Sita shangaa wiki chache zijazo ukiwa unaelekea huko huko mwenyewe. Unapo patwa na janga huna raha ya kujisemeza kama unavyo jizungusha tu hapa.
Hapo Wizara ya Afya; pamoja na ubovu wao wa utendaji, usifikiri wana kubali tu kipuuzi puuzi ushauri wa kipuuzi toka kwa aina yako bila kujiridhisha na kujuwa wanacho fanya.

Sasa hapa unapoteza muda tu, kwa sababu nimekwisha kuonyesha jinsi ulivyo mjinga mnjinga tu katika unayo changia hapa. Huna lolote ulijualo.
 
Mjinga ni wewe wenyeji wanapakimbia wewe unapakimbilia pathetic
 
Mke wa Faustine ambae ni Program Manager pale NBTS, Magdalena Lymo nilifanya nae kazi kwa karibu akiwa kama Program manager NBTS na dada yangu mkubwa huku mm nikiwa Junior pale Ocean Road Cancer Institute na kabla sijakimbilia Ottawa, Canada na kuachana na Utumishi wa Umma.

Faustine kuwa DG-WHO Africa, ni fursa na Watz wengi wangeingia huko , ila jamaa amelala kabla hata ya kukalia kiti cha enzi . kuna thin layer kati ya mafanikio ya ndoto yako na mstari wa kuzimu, a very thin layer. Carefully !

Cha kusikitisha kabisa ni haijulikani Faustine ameanza kuumwa lini na ameumwa nini. Ukiwa kiongozi na nyie viongozi tabia ya kufanya siri ugonjwa wenu hata mnapoumwa kikawaida muwe sana makini, wakati mwingine watu wanatembea humo humo, ukishakuwa kiongozi na public figure vitu kama magonjwa sio siri, ijulikane unaumwa nini.

Faustine ameenda India no one knows , tunakuja kupewa taarifa za Maiti, Mafuru kaenda India, tunakuja kupewa taarifa za maiti.

Moja ya sehemu ambazo sitamani kusikia kiongozi wenye maono ameenda kwa matibabu ni India na SA, these places ni very corrupt na system govt za nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Kama kweli wewe ni mtu potential and public figure , those are not places to go . Bora uende hapo MNH.

Magufuli amepekekwa Hospitali , mkafanya siri, tunakuja kupewa info za maiti, yaani haijulikani mnauliwa au mnakufa. Mbona wenzetu nje kiongozi akiumwa inajulikana na inajulikana ameenda wapi, hata JK alipoumwa tupo tulioenda pale Hopkins kumcheki! This is how a leader should be , sio unafanya fanya siri then wanakuua huko unaletwa maiti na kuwekwa upande wa mizigo wa ndege.

wanajua wazi watz wamezoea tu kupewa taarifa za msiba. Hii ni mbaya sana you guys need to change. Kuna viongozi wengi sna ni wagonjwa na tumewapa nafasi kubwa za uongozi na mpo na watu wanatamani hizo nafasi au ni maadu but mnafanya siri hali zenu mnawasafirisha kwa siri then mnakuja kutupa taarifa za msiba !

Kama mnawakatishana uhai je?

Post ya Faustine ilikuwa na upinzani mkubwa sna, na fitna tulizozifanya kama taifa zinajulikana…….na kwa umoja wa taifa akashinda, lakini mapambano hayaishi hapo, kuna some people loses the battle but not war …… tulipaswa kuendelea kumlinda Faustine ….. worst enough na kwa usiri wa hovyo mkaja kumpeleka India, a very corrupt places kwenye system za govt nyingi.

Moja ya benefits alizokuwa anakwenda kupata ni salary not less than 130M on monthly , international health insurance, watoto wote wanasomeshwa majuu, wife analipwa 60% of the salary yake, anapewa nafasi 14 kila mwaka za kuajiri from his country, lots of benefits with the country recognition , it was not just a post for him , it was a post for the country.

Kuna kitu hakipo sawa kwenye hilo taifa!

Poleni watanzania, tumenyang’anywa tonge mdomoni.

PIA SOMA
- TANZIA - Dkt. Faustine Ndugulile aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Daah, kama nchi tumepigwa pabaya sana. Hata mimi nilikua na uhakika Dr Faustine akiwa WHO, ningepata mchongo pale
 
Siwezi kwenda kwenye nchi takataka kama India niliyoyaona huko sina hamu
Kumbe ulikwenda huko. Kama nani, kuli au mfagizi wa ofisi?

Sasa wewe katika hali hiyo unge tegemea kuona wanako kwenda wakubwa? Wewe uiishia huko kwenye mitaa yenye vurugu, halafu unachukulia nchi nzima ipo hivyo kila mahali?
Bila shaka ulisafiri kwenye yale magari moshi yao, tena ukajipenyeza juu ya paa la behewa; halafu leo unakuja hapa kutueleza uliyo shuhudia wewe katika hali tofaui kabisa na wengine!
Toka mwanzo nilijuwa kuna jambo lililo kutokea, ndiyo maana ukawa na mtizamo huo; pamoja na kukosa upeo.
 
India ni takataka miji michafu, pollution, miundombinu mibovu, kunanuka

Kwa aliyefika atanielewa tofauti na wewe mjinga unayeandika usichokijua
 
Katika hadhi uliyo kuwa nayo wakati unakwenda huko ni lazima uyaone mambo hayo. Nchi nyingi duniani, hata hizo zinazo julikana kuwa dunia ya kwanza, kuna maeneo ambayo hali inakuwa tofauti na maeneo mengine. Ulisha wahi fika Washington D.C.; au Los Angeles?

Sasa wewe unalila lia hapa na India, wakati wewe na familia yako yote mnawategemea hao hao India kwa dawa mnazo tumia. Ile mizigo unayo shushiwa palesokoni kila asubuhi imeletwa hapo na malori ya wahindi. Halafu unaingia humu JF na kujiapiza juu ya uduni wa India!
 
India wanaitegema China kwa APIs za hizo dawa

Huwezi fananisha L.A na takataka zilizoko India mwehu wewe

Unaongea upumbavu mno
 
Naomba kujua chanzo Cha taarifa za huu mshahara wa 130M Kwa mwezi kiongozi.

Hata Megalodon nimeona aliileta hivyo hivyo, ila Sina uhakika na hizo namba. Hata UN SG halipwi huo mshahara Kwa mwezi.
Hii ndiyo JF yenyewe, unakutana na taarifa za ajabu ajabu, na wanao zileta hata hawajisumbui kuweka vyanzo vya taarifa hizo. La muhimu kwao, ni kuonekana wanajuwa hayo maswala vyema kuliko wengine.
Hata katika uongo, kuna uongo ulio pitiliza kiasi. Mshahara wa takribani U.S. $50,000.00 kwa mwezi kwa ngazi hiyo; na huyo mkuu wa WHO yeye atakuwa anapata kiasi cha juu zaidi ya hapo!
 
India wanaitegema China kwa APIs za hizo dawa

Huwezi fananisha L.A na takataka zilizoko India mwehu wewe

Unaongea upumbavu mno
Huko nako ulisha fika, au unaambiwa tu?
Hiyo habari ya APIs ninaifanyia kazi, usiwe na shaka. lakini najuwa huwezi kueleza chochote kuhusu India wapate APIs toka China; halafu ndio wauze dawa zilizo tengenezwa kwa wingi nje, na isiwe China wenyewe.
Hata hilo la APIs sijui ulilidakia wapi, na haraka haraka ukakimbilia ku-google, ili taarifa hiyo uilete hapa.
 
Back
Top Bottom