Hili la kifo cha Dkt. Faustine Ndugulile limeniumiza sana, shida ni nini?

Wewe una ufinyu wa uelewa kwenye pharma ind ndio maana wadau wanajitokeza kukusaidia uelewe. Hujishtukii?
 
kwenye Uagizaji wa hizo APIs still china inauza kwa nchi nyingi...

Kwa ufupi ni kwamba kama hujihusishi kwenye industry fulani Kuna vingi huvijui

Imagine vifungashio vya dawa zenyewe zinakuwa imported sembuse hizo ingredients?

Kuna kiwanda hapa Tz chenyewe vifungashio tuu hawawez tengeneza mpaka wa import kutoka china hapo

Akitaka kujua dawa zinaagizwa nje nyingi ajaribu kwenda TMDA, TBS, TRA CUSTOM, na ajaribu kuwa na ukaribu na clearing agents atajua .......

China is the best na ajiandae kuagiza mapema tunapoelekea china watakuwa na sikukuu zao plus kuliwa na baridi hawaendi job

wahindi washenzi mno basi tuu njaa na shida hizi ndo zinatufanya tuchangamane nao lakini wachina wana uhovyo lakini when comes to biznez aseeh hawarembi imla wako active.... Kongole bruh kwa kugusia hii issue ya pharm industry
 
Wewe una ufinyu wa uelewa kwenye pharma ind ndio maana wadau wanajitokeza kukusaidia uelewe. Hujishtukii?
Sioni chochote kinacho husiana na pharma industry alicho ongelea. Ni wewe unajazia tu unacho taka kuongeza.
bado swala ni lile lile la Hospitali za India, unakumbuka? Public sector ya huko ya huduma za hospitali, au umesahau?
 
Kalamu umeona fact hizi mwamba huyu hapa mshikilie sana upate uelewa wa hili game la global pharmaceutical na mchango wa China mwenye hii industry

Nakubaliana nawe mkuu Mchina yuko vizuri sana kwenye supply chain ya APIs

Mchina ni mfanyabiashara mahiri kuliko Mhindi
 
Sijaona jipya lolote hapo.
Mjadala ni hospitali za India kama vile Appolo wanako kwenda viongozi wetu.
Mjadala wa hayo madawa ukitaka nitakufundisha toka A hadi Z, bila ya wasiwasi wowote.
 
Maybe yeye sijui anataka kumaanisha nini lakini

Wahindi wanaonekana kuipenda kazi yao hasa wamejichanganya na sisi watu weusi ndo maana tunawaona hivyo labda na nidhamu ya kazi kutuzidi

Kingine ile wanajua kumuandaa mwendelezaji wa biashara zao tofaut na sisi mpk mtu afe ugomvi uibuke labda ufananishe wahindi na waafrica

Lakini wahindi na wachina aseeh

Wachina watu wengi hasa nasema kwa kumaanisha

Tuliwahi kumwambia mchina by saa sita tunakuwa tumefanya payment for our new containers Ila kufika saa sita hatujalipa mtandao benk hausomi na hapo tushalipia kama nusu ya mzigo

Mzigo tumekuja kupata third consignment
Uone mchina alivyo chapu kwenye biashara....
 
Una uhakika na usichokijua ndio maana wadau wanakukataa
Tunawaona wahindi ni Bora sijui kwa sababu kitu kidogo utasikia kafia India basi wabongo tunaona ni sifa kibao kumbe hamna kipya mbona sauzi Kuna hospital kibao tuu wanaenda watu na sio India ?

Kenya hapo wako vizuri tuu.... Tz siasa na ulimbukeni mwingi ndo kinachotuponza bruh,
 
Hua nawaambia my friends wenye vyeo serikalini, ukiumwa please usikubali kupelekwa India, bora uende hata china but not India[emoji34], unaenda kuuawa.

Yes, India kuna madaktari wazuri sana (best), ila rushwa iliopo kuua watu ni 75%. Yani mbaya wako akiamua kukumaliza, then akajua umeenda kutibiwa India, anajua mchezo kwisha, anatafta umeenda hoapital gani anamalizana na madr.

Very corrupted Country
 
India ni takataka

Kalamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…